UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 3,149
- 14,407
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Mimi binafsi ni mpingaji wa Dhulma,uminyaji wa Haki,mauaji ya raia,Utekaji wa raia kila mahali,UminywaJi wabl Demokrasia pamoja na Upingaji wa ukandamizaji wa Vyombo vya habari zikiwemo Blogs!
Binafsi naomba Mamlaka za nchi hii ziniunganishe kwenye Kesi ya "Niffer" na wenzie kwasababu Mimi Binafsi simtambui mtu anayeitwa "SAMIA SULUHU HASSAN" kama Rais,ninaamini Huyo mtu anayejiita "SAMIA SULUHU HASSAN" ni Mlowezi kutoka Zanzibar aliyelowea Tanganyika na ndiye anastahili kuwekwa kizuizini,kuhukumiwa na kunyongwa!
Mimi UMUGHAKA ninayeamini "Niffer" kuonekana akicheza video ya kuunga ya maneno yaliyotambulika kama"Rais Samuya" kutoka Kwa Rais mstaafu wa awamu ya Nne,Ndugu JakayaMrisho Kikwete ndiyo yamepelekewa kuitwa "Muhaini",Basi Mimi UMUGHAKA ambaye Nina amini Rais Samia anapaswa kushitakiwa na kufungwa itakuwa ninastahili kifo!
Sitaki kufia gizani,nahitaji kuunganishwa na kundi la Watanganyika Wenzangu wapigania mabadiliko lijulikanalo kama "NIFFER NA WENZIE"
NAIPENDA TANGANYIKA,I MUST DIE FOR TANGANYIKA