Kama hizi ndio sababu za jina la Mpina kukatwa NEC

Hayo yaliyosemwa YOTE wewe hayakugusi, umeme kukatika kwako sio shida, maji sio shida, vitu unanunua kwa bei, kuchelewa mradi wa bwawa la nyerere sio shida kwake, Symbion kulipwa mabilioni sio shida hadi ukimbilie mambo ya uRAIS ya miaka 3 ijayo ambayo mimi na wewe hatuna uhakika wa kufika
Hahaha, polee mzee, hayo ni accumulative problems, but yatakuwa solved awamu hii kwa akili, siyo kutumia mabavu, na propaganda za akina musiba
 
Hayo yaliyosemwa YOTE wewe hayakugusi, umeme kukatika kwako sio shida, maji sio shida, vitu unanunua kwa bei, kuchelewa mradi wa bwawa la nyerere sio shida kwake, Symbion kulipwa mabilioni sio shida hadi ukimbilie mambo ya uRAIS ya miaka 3 ijayo ambayo mimi na wewe hatuna uhakika wa kufika

Yanaweza kunigusa na still nikamuona mpumbavu vile vile ..
Kwahiyo CCM wameleta ukame Hadi Kenya na Uganda?...wengine hatuendi Kwa mihemko
 
Ndugu yangu KUWA mtu mzima kidogo BASI unapojadili mambo makubwa haya aliyohoji yamesababishwa na UKAME? KWELI?

1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia Trilioni 360 akitaka kujua nani alisamehe na kama ana mamlaka kisheria kusamehe madai halali ya watanzania ya kiasi cha shilingi Trilioni 5.5 kama ilivyoamuliwa na Mahakama za rufani za Kodi za TRAB na TRAT

2. Kuhoji bungeni juu ya Serikali kushindwa kudai madai halali ya Shilingi Trilioni 1.5 kwa ucheleweshaji wa mradi na CSR kutoka kwa Kampuni ya Arab Contractors ya Misri inayojenga mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere. Lakini pia Serikali kuendelea kutoa taarifa zinazokinzana juu ya ukamilishaji wa mradi huo.

3. Kuhoji bungeni kuhusu kupaa kwa Deni la Taifa kutoka wastani wa kukua kwa asilimia 4 hadi asilimia 13 na kutojulikana zilipo shilingi Trilioni 5 zilizokopwa nje ya bajeti kwa mwaka 2022.

4. Kuhoji bungeni TRA kushindwa kukusanya malimbikizo ya kodi yasiyo na kesi mahakamani kiasi cha shilingi Trilioni 7.5 na ucheleweshaji wa maamuzi ya mapingamizi ya kodi katika mahakama za rufani za kodi kiasi cha shilingi Trilioni 5 bila kuwepo sababu za msingi.

5. Kuhoji bungeni uhalali wa malipo yaliyofanywa na Serikali kwa Kampuni ya Symbion LLC ya shilingi Bilioni 350 nje ya bajeti na bila kuzingatia madai halali ya Serikali ikiwemo kodi na gharama nyinginezo.

6. Kukataa bungeni juu ya uamuzi wa Serikali kujenga Bandari ya Bagamoyo bila kuwepo tathmini ya kina juu ya uwezo wa kiuchumi kugharamia mradi huo

7. Kuhoji bungeni kuhusu Serikali kuingia mikataba mibovu, kushindwa kurejesha ngombe 6,000 za wafugaji walioshinda kesi mahakamani, kushindwa kudhibiti tembo wanaovamia mashamba na makazi ya wananchi na kusababisha vifo na majeruhi.

8. Kuhoji bungeni kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine hali iliyoilazimu Serikali kuweka ruzuku ya shilingi bilioni 100 kila mwezi bila kuwepo unafuu wowote kwa wananchi.
 
SUALA la Luhaga Mpina kukatwa jina lake kwenye nafasi ya mgombea wa NEC Mkoa wa Simiyu kwa mwaka huu wa 2022 kuwa amekosa sifa ya kuteuliwa limetuachia maswali mengi hasa sababu 11 zinazodaiwa ndio zimechangia kuondolewa kwenye mchuano huo.

7. Kuhoji bungeni kuhusu Serikali kuingia mikataba mibovu, kushindwa kurejesha ngombe 6,000 za wafugaji walioshinda kesi mahakamani, Serikali kushindwa kudhibiti tembo wanaovamia mashamba na makazi ya wananchi na kusababisha vifo na majeruhi.

9. Kuhoji bungeni suala la katakata ya umeme na migao ya umeme isiyoisha nchini iliyopelekea kuathiri uchumi na utoaji wa huduma zinazotegemea nishati ya umeme.

10. Kuhoji bungeni kuhusu suala la usimamizi mbovu na kupanda kiholela kwa bei ya mbolea na namna ilivyowaathiri uzalishaji na upatikanaji wa chakula nchini

11. Kuhoji bungeni juu ya kupanda kiholela kwa bei za bidhaa na gharama za maisha hali iliyopelekea mfumko mkubwa wa bei nchini huku Serikali ikishindwa kudhibiti hali hiyo.

KAMA HAYA MAMBO 11 NDIO YAMEMPONZA HADI JINA LAKE KUKATWA BASI TUNA SAFARI NDEFU SANA KAMA TAIFA
Drama mkuu.
Usiwe moved na petty moves za CCM
 
Na mwambieni awe makini pia kwani 99% ya anaowagusa ndiyo wale wale 'Waliotujonzi' hasa 'Kiumafia' Watanzania tarehe 17 Machi, 2021 na sasa Tanzania yote ni yao.

Kama kweli march 2021 ilikuwa ni kazi ya binadamu, watakuwa walifanya jambo la maana sana.
 
SUALA la Luhaga Mpina kukatwa jina lake kwenye nafasi ya mgombea wa NEC Mkoa wa Simiyu kwa mwaka huu wa 2022 kuwa amekosa sifa ya kuteuliwa limetuachia maswali mengi hasa sababu 11 zinazodaiwa ndio zimechangia kuondolewa kwenye mchuano huo.

1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia Trilioni 360 akitaka kujua nani alisamehe na kama ana mamlaka kisheria kusamehe madai halali ya watanzania ya kiasi cha shilingi Trilioni 5.5 kama ilivyoamuliwa na Mahakama za rufani za Kodi za TRAB na TRAT

2. Kuhoji bungeni juu ya Serikali kushindwa kudai madai halali ya Shilingi Trilioni 1.5 kwa ucheleweshaji wa mradi na CSR kutoka kwa Kampuni ya Arab Contractors ya Misri inayojenga mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere. Lakini pia Serikali kuendelea kutoa taarifa zinazokinzana juu ya ukamilishaji wa mradi huo.

3. Kuhoji bungeni kuhusu kupaa kwa Deni la Taifa kutoka wastani wa kukua kwa asilimia 4 hadi asilimia 13 na kutojulikana zilipo shilingi Trilioni 5 zilizokopwa nje ya bajeti kwa mwaka 2022.

4. Kuhoji bungeni TRA kushindwa kukusanya malimbikizo ya kodi yasiyo na kesi mahakamani kiasi cha shilingi Trilioni 7.5 na ucheleweshaji wa maamuzi ya mapingamizi ya kodi katika mahakama za rufani za kodi kiasi cha shilingi Trilioni 5 bila kuwepo sababu za msingi.

5. Kuhoji bungeni uhalali wa malipo yaliyofanywa na Serikali kwa Kampuni ya Symbion LLC ya shilingi Bilioni 350 nje ya bajeti na bila kuzingatia madai halali ya Serikali ikiwemo kodi na gharama nyinginezo.

6. Kukataa bungeni juu ya uamuzi wa Serikali kujenga Bandari ya Bagamoyo bila kuwepo tathmini ya kina juu ya uwezo wa kiuchumi kugharamia mradi huo

7. Kuhoji bungeni kuhusu Serikali kuingia mikataba mibovu, kushindwa kurejesha ngombe 6,000 za wafugaji walioshinda kesi mahakamani, Serikali kushindwa kudhibiti tembo wanaovamia mashamba na makazi ya wananchi na kusababisha vifo na majeruhi.

8. Kuhoji bungeni kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine hali iliyoilazimu Serikali kuweka ruzuku ya shilingi bilioni 100 kila mwezi bila kuwepo unafuu wowote kwa wananchi.

9. Kuhoji bungeni suala la katakata ya umeme na migao ya umeme isiyoisha nchini iliyopelekea kuathiri uchumi na utoaji wa huduma zinazotegemea nishati ya umeme.

10. Kuhoji bungeni kuhusu suala la usimamizi mbovu na kupanda kiholela kwa bei ya mbolea na namna ilivyowaathiri uzalishaji na upatikanaji wa chakula nchini

11. Kuhoji bungeni juu ya kupanda kiholela kwa bei za bidhaa na gharama za maisha hali iliyopelekea mfumko mkubwa wa bei nchini huku Serikali ikishindwa kudhibiti hali hiyo.

KAMA HAYA MAMBO 11 NDIO YAMEMPONZA HADI JINA LAKE KUKATWA BASI TUNA SAFARI NDEFU SANA KAMA TAIFA
Huyo Kichaa akapumzike
 
Si kaahidi kugombea Urais kupitia chama kingine?sasa ndo kapewa ruhusa ...akagombee aone why Lowasa..
Membe na Sumaye wamerudi CCM now wamefunga midomo

CCM bado wanatumia mbinu za kizamani wakiamini wakianzisha chama kingine watateka wetu kwa hizo drama za kina Mpina.
 
Si kaahidi kugombea Urais kupitia chama kingine?sasa ndo kapewa ruhusa ...akagombee aone why Lowasa..
Membe na Sumaye wamerudi CCM now wamefunga midomo
Huna akili hata kidogo CHALAMILA ameshawataja wanaoutaka Urais ametaja Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya hatutajwa Mbunge hata mmoja unaleta DRAMA

Hii nchi bhana yani kila sehemu ukigusa ni mabilioni na matrilionea kupigwa /kwenda kusikojulikana yani hakuna sehemu hata moja utasifia kwamba mambo yalifanyika kwa ueledi duh!. Hii ni Reflection ya kwamba wananchi more than 95% ni either illiterate au stupid kabisa that's why wanaeza kuvumilia hii hali bila kuzungumzia chochote bali kuendelea kuinjoy tu maisha kwa hali waliyopo.

Ni sehemu nzuri sana ya kufaidik kwa corrupt pple
Ndio maana naomba maisha yazidi kuwa magumu huenda itawasaidia kuamka
 
Yanaweza kunigusa na still nikamuona mpumbavu vile vile ..
Kwahiyo CCM wameleta ukame Hadi Kenya na Uganda?...wengine hatuendi Kwa mihemko
Magu aliwapabrainwash hawa jamaa wakawa wajinga kabisa, now we deal with real problems huku tukitafuta real solutions, siyo ule uongo uongo wa kuamini kila tatizo letu limetoka kwa wazungu
 
Ndugu yangu KUWA mtu mzima kidogo BASI unapojadili mambo makubwa haya aliyohoji yamesababishwa na UKAME? KWELI?

1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia Trilioni 360 akitaka kujua nani alisamehe na kama ana mamlaka kisheria kusamehe madai halali ya watanzania ya kiasi cha shilingi Trilioni 5.5 kama ilivyoamuliwa na Mahakama za rufani za Kodi za TRAB na TRAT

2. Kuhoji bungeni juu ya Serikali kushindwa kudai madai halali ya Shilingi Trilioni 1.5 kwa ucheleweshaji wa mradi na CSR kutoka kwa Kampuni ya Arab Contractors ya Misri inayojenga mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere. Lakini pia Serikali kuendelea kutoa taarifa zinazokinzana juu ya ukamilishaji wa mradi huo.

3. Kuhoji bungeni kuhusu kupaa kwa Deni la Taifa kutoka wastani wa kukua kwa asilimia 4 hadi asilimia 13 na kutojulikana zilipo shilingi Trilioni 5 zilizokopwa nje ya bajeti kwa mwaka 2022.

4. Kuhoji bungeni TRA kushindwa kukusanya malimbikizo ya kodi yasiyo na kesi mahakamani kiasi cha shilingi Trilioni 7.5 na ucheleweshaji wa maamuzi ya mapingamizi ya kodi katika mahakama za rufani za kodi kiasi cha shilingi Trilioni 5 bila kuwepo sababu za msingi.

5. Kuhoji bungeni uhalali wa malipo yaliyofanywa na Serikali kwa Kampuni ya Symbion LLC ya shilingi Bilioni 350 nje ya bajeti na bila kuzingatia madai halali ya Serikali ikiwemo kodi na gharama nyinginezo.

6. Kukataa bungeni juu ya uamuzi wa Serikali kujenga Bandari ya Bagamoyo bila kuwepo tathmini ya kina juu ya uwezo wa kiuchumi kugharamia mradi huo

7. Kuhoji bungeni kuhusu Serikali kuingia mikataba mibovu, kushindwa kurejesha ngombe 6,000 za wafugaji walioshinda kesi mahakamani, kushindwa kudhibiti tembo wanaovamia mashamba na makazi ya wananchi na kusababisha vifo na majeruhi.

8. Kuhoji bungeni kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine hali iliyoilazimu Serikali kuweka ruzuku ya shilingi bilioni 100 kila mwezi bila kuwepo unafuu wowote kwa wananchi.

Wewe ndo jaribu kuwa MTU mzima
Bei ya mafuta imepanda Tanzania peke yake?Kenya ,Uganda na dunia nzima bei imepandishwa na CCM?..hata Marekani bei ya mafuta imepanda ni CCM ndo wamepandisha bei?..

Bandari ya Bagamoyo Una uhakika haikufanyiwa tafiti ya kutosha?mbona Nyerere Dam inatumika tafiti ya mwaka 1976 na hulalamiki?
 
Huna akili hata kidogo CHALAMILA ameshawataja wanaoutaka Urais ametaja Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya hatutajwa Mbunge hata mmoja unaleta DRAMA

Hakuna Mtu anaweza kupambana Urais na Samia 2025, Hakunaaaa, hizo kelele tuuu, acha kujilisha upepo Mzee
 
SUALA la Luhaga Mpina kukatwa jina lake kwenye nafasi ya mgombea wa NEC Mkoa wa Simiyu kwa mwaka huu wa 2022 kuwa amekosa sifa ya kuteuliwa limetuachia maswali mengi hasa sababu 11 zinazodaiwa ndio zimechangia kuondolewa kwenye mchuano huo.

1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia Trilioni 360 akitaka kujua nani alisamehe na kama ana mamlaka kisheria kusamehe madai halali ya watanzania ya kiasi cha shilingi Trilioni 5.5 kama ilivyoamuliwa na Mahakama za rufani za Kodi za TRAB na TRAT

2. Kuhoji bungeni juu ya Serikali kushindwa kudai madai halali ya Shilingi Trilioni 1.5 kwa ucheleweshaji wa mradi na CSR kutoka kwa Kampuni ya Arab Contractors ya Misri inayojenga mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere. Lakini pia Serikali kuendelea kutoa taarifa zinazokinzana juu ya ukamilishaji wa mradi huo.

3. Kuhoji bungeni kuhusu kupaa kwa Deni la Taifa kutoka wastani wa kukua kwa asilimia 4 hadi asilimia 13 na kutojulikana zilipo shilingi Trilioni 5 zilizokopwa nje ya bajeti kwa mwaka 2022.

4. Kuhoji bungeni TRA kushindwa kukusanya malimbikizo ya kodi yasiyo na kesi mahakamani kiasi cha shilingi Trilioni 7.5 na ucheleweshaji wa maamuzi ya mapingamizi ya kodi katika mahakama za rufani za kodi kiasi cha shilingi Trilioni 5 bila kuwepo sababu za msingi.

5. Kuhoji bungeni uhalali wa malipo yaliyofanywa na Serikali kwa Kampuni ya Symbion LLC ya shilingi Bilioni 350 nje ya bajeti na bila kuzingatia madai halali ya Serikali ikiwemo kodi na gharama nyinginezo.

6. Kukataa bungeni juu ya uamuzi wa Serikali kujenga Bandari ya Bagamoyo bila kuwepo tathmini ya kina juu ya uwezo wa kiuchumi kugharamia mradi huo

7. Kuhoji bungeni kuhusu Serikali kuingia mikataba mibovu, kushindwa kurejesha ngombe 6,000 za wafugaji walioshinda kesi mahakamani, Serikali kushindwa kudhibiti tembo wanaovamia mashamba na makazi ya wananchi na kusababisha vifo na majeruhi.

8. Kuhoji bungeni kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine hali iliyoilazimu Serikali kuweka ruzuku ya shilingi bilioni 100 kila mwezi bila kuwepo unafuu wowote kwa wananchi.

9. Kuhoji bungeni suala la katakata ya umeme na migao ya umeme isiyoisha nchini iliyopelekea kuathiri uchumi na utoaji wa huduma zinazotegemea nishati ya umeme.

10. Kuhoji bungeni kuhusu suala la usimamizi mbovu na kupanda kiholela kwa bei ya mbolea na namna ilivyowaathiri uzalishaji na upatikanaji wa chakula nchini

11. Kuhoji bungeni juu ya kupanda kiholela kwa bei za bidhaa na gharama za maisha hali iliyopelekea mfumko mkubwa wa bei nchini huku Serikali ikishindwa kudhibiti hali hiyo.

KAMA HAYA MAMBO 11 NDIO YAMEMPONZA HADI JINA LAKE KUKATWA BASI TUNA SAFARI NDEFU SANA KAMA TAIFA
Laiti km mama angejua mtaan HATUMKUBALI angekuwa mpole Hawa wanaomsifia wanajinafikisha cz ndiko wanapatia chakula
 
Hahahaha, Mpina mshiriki wa kutesa watu wa JPM, ahame chama aende huko kwenye ujinga wake, nobody give a shit about him
Mpuuzi kama wewe lazima tuseme niwale walamba asali.
Mjinga mkubwa kama wewe kwa hizo point lazima utaona sawa kwakuwa anakuaribia ugali wako.
 
Back
Top Bottom