Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
TrueNa mwambieni awe makini pia kwani 99% ya anaowagusa ndiyo wale wale 'Waliotujonzi' hasa 'Kimafia' Watanzania tarehe 17 Machi, 2021 na sasa Tanzania yote ni yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueNa mwambieni awe makini pia kwani 99% ya anaowagusa ndiyo wale wale 'Waliotujonzi' hasa 'Kimafia' Watanzania tarehe 17 Machi, 2021 na sasa Tanzania yote ni yao.
Hata hao sumaye na wenzake bado ikitokea chama chenye nguvu wataulaza tena.Si kaahidi kugombea Urais kupitia chama kingine?sasa ndo kapewa ruhusa ...akagombee aone why Lowasa..
Membe na Sumaye wamerudi CCM now wamefunga midomo
Nimekupenda wewe kwa ujuha wakoHahaha, so unampenda Mpina na unafiki wake?
Hilo ndiyo jibu sahihiNilitaka kucheka hayo ya "Zanzibar...", hadi nilipokumbuka hayo ya mwanzo, kuhusu "kung'ang'ania kwake CCM."
Hivi haiwezekani kabisa kupambana humo ndani kwa ndani ya CCM yenyewe na kupata ushindi wa kuleta mabadiilko ndani ya chama hicho?
Tafadhari, naomba radhi kwa kuuliza swali kama hili linaloonekana kuwa la kipumbavu kabisa, lakini ukweli ni kuwa sijui jibu lake sahihi.
Ina maana huko ndani ya CCM, wote walioko huko sasa wanaamini kitu kimoja tu, maslahi yao, hakuna wengine wanaoona umuhimu wa maslahi ya nchi yao, na wao wakaamua kupambana humo humo ndani kwa ndani?
Binafsi, namshauri akazie hapo hapo. Katika mika yake iliyobaki kuwa bungeni, atumie fursa hiyo kujipambanua, na kuwaeleza waTanzania waelewe CCM ilikofikia.