Kama hizi ndio sababu za jina la Mpina kukatwa NEC

Kazi iendelee
IMG-20221118-WA0012.jpg
 
SUALA la Luhaga Mpina kukatwa jina lake kwenye nafasi ya mgombea wa NEC Mkoa wa Simiyu kwa mwaka huu wa 2022 kuwa amekosa sifa ya kuteuliwa limetuachia maswali mengi hasa sababu 11 zinazodaiwa ndio zimechangia kuondolewa kwenye mchuano huo.

1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia Trilioni 360 akitaka kujua nani alisamehe na kama ana mamlaka kisheria kusamehe madai halali ya watanzania ya kiasi cha shilingi Trilioni 5.5 kama ilivyoamuliwa na Mahakama za rufani za Kodi za TRAB na TRAT

2. Kuhoji bungeni juu ya Serikali kushindwa kudai madai halali ya Shilingi Trilioni 1.5 kwa ucheleweshaji wa mradi na CSR kutoka kwa Kampuni ya Arab Contractors ya Misri inayojenga mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere. Lakini pia Serikali kuendelea kutoa taarifa zinazokinzana juu ya ukamilishaji wa mradi huo.

3. Kuhoji bungeni kuhusu kupaa kwa Deni la Taifa kutoka wastani wa kukua kwa asilimia 4 hadi asilimia 13 na kutojulikana zilipo shilingi Trilioni 5 zilizokopwa nje ya bajeti kwa mwaka 2022.

4. Kuhoji bungeni TRA kushindwa kukusanya malimbikizo ya kodi yasiyo na kesi mahakamani kiasi cha shilingi Trilioni 7.5 na ucheleweshaji wa maamuzi ya mapingamizi ya kodi katika mahakama za rufani za kodi kiasi cha shilingi Trilioni 5 bila kuwepo sababu za msingi.

5. Kuhoji bungeni uhalali wa malipo yaliyofanywa na Serikali kwa Kampuni ya Symbion LLC ya shilingi Bilioni 350 nje ya bajeti na bila kuzingatia madai halali ya Serikali ikiwemo kodi na gharama nyinginezo.

6. Kukataa bungeni juu ya uamuzi wa Serikali kujenga Bandari ya Bagamoyo bila kuwepo tathmini ya kina juu ya uwezo wa kiuchumi kugharamia mradi huo

7. Kuhoji bungeni kuhusu Serikali kuingia mikataba mibovu, kushindwa kurejesha ngombe 6,000 za wafugaji walioshinda kesi mahakamani, Serikali kushindwa kudhibiti tembo wanaovamia mashamba na makazi ya wananchi na kusababisha vifo na majeruhi.

8. Kuhoji bungeni kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine hali iliyoilazimu Serikali kuweka ruzuku ya shilingi bilioni 100 kila mwezi bila kuwepo unafuu wowote kwa wananchi.

9. Kuhoji bungeni suala la katakata ya umeme na migao ya umeme isiyoisha nchini iliyopelekea kuathiri uchumi na utoaji wa huduma zinazotegemea nishati ya umeme.

10. Kuhoji bungeni kuhusu suala la usimamizi mbovu na kupanda kiholela kwa bei ya mbolea na namna ilivyowaathiri uzalishaji na upatikanaji wa chakula nchini

11. Kuhoji bungeni juu ya kupanda kiholela kwa bei za bidhaa na gharama za maisha hali iliyopelekea mfumko mkubwa wa bei nchini huku Serikali ikishindwa kudhibiti hali hiyo.

KAMA HAYA MAMBO 11 NDIO YAMEMPONZA HADI JINA LAKE KUKATWA BASI TUNA SAFARI NDEFU SANA KAMA TAIFA
Very sad ila asikate tamaa yeye ni mshindi ndiomana wanamuogopa. wala haisumbui dhamira akose nguvu za kujitetea kisiasa.
 
Ndugu yangu KUWA mtu mzima kidogo BASI unapojadili mambo makubwa haya aliyohoji yamesababishwa na UKAME? KWELI?

1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia Trilioni 360 akitaka kujua nani alisamehe na kama ana mamlaka kisheria kusamehe madai halali ya watanzania ya kiasi cha shilingi Trilioni 5.5 kama ilivyoamuliwa na Mahakama za rufani za Kodi za TRAB na TRAT

2. Kuhoji bungeni juu ya Serikali kushindwa kudai madai halali ya Shilingi Trilioni 1.5 kwa ucheleweshaji wa mradi na CSR kutoka kwa Kampuni ya Arab Contractors ya Misri inayojenga mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere. Lakini pia Serikali kuendelea kutoa taarifa zinazokinzana juu ya ukamilishaji wa mradi huo.

3. Kuhoji bungeni kuhusu kupaa kwa Deni la Taifa kutoka wastani wa kukua kwa asilimia 4 hadi asilimia 13 na kutojulikana zilipo shilingi Trilioni 5 zilizokopwa nje ya bajeti kwa mwaka 2022.

4. Kuhoji bungeni TRA kushindwa kukusanya malimbikizo ya kodi yasiyo na kesi mahakamani kiasi cha shilingi Trilioni 7.5 na ucheleweshaji wa maamuzi ya mapingamizi ya kodi katika mahakama za rufani za kodi kiasi cha shilingi Trilioni 5 bila kuwepo sababu za msingi.

5. Kuhoji bungeni uhalali wa malipo yaliyofanywa na Serikali kwa Kampuni ya Symbion LLC ya shilingi Bilioni 350 nje ya bajeti na bila kuzingatia madai halali ya Serikali ikiwemo kodi na gharama nyinginezo.

6. Kukataa bungeni juu ya uamuzi wa Serikali kujenga Bandari ya Bagamoyo bila kuwepo tathmini ya kina juu ya uwezo wa kiuchumi kugharamia mradi huo

7. Kuhoji bungeni kuhusu Serikali kuingia mikataba mibovu, kushindwa kurejesha ngombe 6,000 za wafugaji walioshinda kesi mahakamani, kushindwa kudhibiti tembo wanaovamia mashamba na makazi ya wananchi na kusababisha vifo na majeruhi.

8. Kuhoji bungeni kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine hali iliyoilazimu Serikali kuweka ruzuku ya shilingi bilioni 100 kila mwezi bila kuwepo unafuu wowote kwa wananchi.
Usiwajibu wafia hujuma without freedom of Informed critics ndio basi tena kwisha habari, tatizo ni pale hata Magufuli mwenyewe hakupenda kukosolewa japo katika chama hakuwa na ubaya ukosoaji wa wabunge wa CCM ndiomana alimpa uwaziri ndugu Bashe
 
SUALA la Luhaga Mpina kukatwa jina lake kwenye nafasi ya mgombea wa NEC Mkoa wa Simiyu kwa mwaka huu wa 2022 kuwa amekosa sifa ya kuteuliwa limetuachia maswali mengi hasa sababu 11 zinazodaiwa ndio zimechangia kuondolewa kwenye mchuano huo.

1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia Trilioni 360 akitaka kujua nani alisamehe na kama ana mamlaka kisheria kusamehe madai halali ya watanzania ya kiasi cha shilingi Trilioni 5.5 kama ilivyoamuliwa na Mahakama za rufani za Kodi za TRAB na TRAT

2. Kuhoji bungeni juu ya Serikali kushindwa kudai madai halali ya Shilingi Trilioni 1.5 kwa ucheleweshaji wa mradi na CSR kutoka kwa Kampuni ya Arab Contractors ya Misri inayojenga mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere. Lakini pia Serikali kuendelea kutoa taarifa zinazokinzana juu ya ukamilishaji wa mradi huo.

3. Kuhoji bungeni kuhusu kupaa kwa Deni la Taifa kutoka wastani wa kukua kwa asilimia 4 hadi asilimia 13 na kutojulikana zilipo shilingi Trilioni 5 zilizokopwa nje ya bajeti kwa mwaka 2022.

4. Kuhoji bungeni TRA kushindwa kukusanya malimbikizo ya kodi yasiyo na kesi mahakamani kiasi cha shilingi Trilioni 7.5 na ucheleweshaji wa maamuzi ya mapingamizi ya kodi katika mahakama za rufani za kodi kiasi cha shilingi Trilioni 5 bila kuwepo sababu za msingi.

5. Kuhoji bungeni uhalali wa malipo yaliyofanywa na Serikali kwa Kampuni ya Symbion LLC ya shilingi Bilioni 350 nje ya bajeti na bila kuzingatia madai halali ya Serikali ikiwemo kodi na gharama nyinginezo.

6. Kukataa bungeni juu ya uamuzi wa Serikali kujenga Bandari ya Bagamoyo bila kuwepo tathmini ya kina juu ya uwezo wa kiuchumi kugharamia mradi huo

7. Kuhoji bungeni kuhusu Serikali kuingia mikataba mibovu, kushindwa kurejesha ngombe 6,000 za wafugaji walioshinda kesi mahakamani, Serikali kushindwa kudhibiti tembo wanaovamia mashamba na makazi ya wananchi na kusababisha vifo na majeruhi.

8. Kuhoji bungeni kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine hali iliyoilazimu Serikali kuweka ruzuku ya shilingi bilioni 100 kila mwezi bila kuwepo unafuu wowote kwa wananchi.

9. Kuhoji bungeni suala la katakata ya umeme na migao ya umeme isiyoisha nchini iliyopelekea kuathiri uchumi na utoaji wa huduma zinazotegemea nishati ya umeme.

10. Kuhoji bungeni kuhusu suala la usimamizi mbovu na kupanda kiholela kwa bei ya mbolea na namna ilivyowaathiri uzalishaji na upatikanaji wa chakula nchini

11. Kuhoji bungeni juu ya kupanda kiholela kwa bei za bidhaa na gharama za maisha hali iliyopelekea mfumko mkubwa wa bei nchini huku Serikali ikishindwa kudhibiti hali hiyo.

KAMA HAYA MAMBO 11 NDIO YAMEMPONZA HADI JINA LAKE KUKATWA BASI TUNA SAFARI NDEFU SANA KAMA TAIFA
Aliyesema hayo ndio yamemkosesha hiyo nafasi ni nani ?
 
Ndo keshaliwa kichwa hayo mengine Ni kujifariji na huna Cha kumsaidia 😆😆😆.

2025 atafute kazi nyingine ya kufanya
 
Huyu tayari wamepiga panga la kisogoni, na polepole ndiyo hivyo tena ofisini kwake ni kwenye gofu msumbuji huko haingii tena vikao vya chama.
Wamebaki kina kitila, waitara mzee wa kvant mwitu na viroboto wengine nao wanasubiriwa wajichanganye.
 
SUALA la Luhaga Mpina kukatwa jina lake kwenye nafasi ya mgombea wa NEC Mkoa wa Simiyu kwa mwaka huu wa 2022 kuwa amekosa sifa ya kuteuliwa limetuachia maswali mengi hasa sababu 11 zinazodaiwa ndio zimechangia kuondolewa kwenye mchuano huo.

1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia Trilioni 360 akitaka kujua nani alisamehe na kama ana mamlaka kisheria kusamehe madai halali ya watanzania ya kiasi cha shilingi Trilioni 5.5 kama ilivyoamuliwa na Mahakama za rufani za Kodi za TRAB na TRAT

2. Kuhoji bungeni juu ya Serikali kushindwa kudai madai halali ya Shilingi Trilioni 1.5 kwa ucheleweshaji wa mradi na CSR kutoka kwa Kampuni ya Arab Contractors ya Misri inayojenga mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere. Lakini pia Serikali kuendelea kutoa taarifa zinazokinzana juu ya ukamilishaji wa mradi huo.

3. Kuhoji bungeni kuhusu kupaa kwa Deni la Taifa kutoka wastani wa kukua kwa asilimia 4 hadi asilimia 13 na kutojulikana zilipo shilingi Trilioni 5 zilizokopwa nje ya bajeti kwa mwaka 2022.

4. Kuhoji bungeni TRA kushindwa kukusanya malimbikizo ya kodi yasiyo na kesi mahakamani kiasi cha shilingi Trilioni 7.5 na ucheleweshaji wa maamuzi ya mapingamizi ya kodi katika mahakama za rufani za kodi kiasi cha shilingi Trilioni 5 bila kuwepo sababu za msingi.

5. Kuhoji bungeni uhalali wa malipo yaliyofanywa na Serikali kwa Kampuni ya Symbion LLC ya shilingi Bilioni 350 nje ya bajeti na bila kuzingatia madai halali ya Serikali ikiwemo kodi na gharama nyinginezo.

6. Kukataa bungeni juu ya uamuzi wa Serikali kujenga Bandari ya Bagamoyo bila kuwepo tathmini ya kina juu ya uwezo wa kiuchumi kugharamia mradi huo

7. Kuhoji bungeni kuhusu Serikali kuingia mikataba mibovu, kushindwa kurejesha ngombe 6,000 za wafugaji walioshinda kesi mahakamani, Serikali kushindwa kudhibiti tembo wanaovamia mashamba na makazi ya wananchi na kusababisha vifo na majeruhi.

8. Kuhoji bungeni kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine hali iliyoilazimu Serikali kuweka ruzuku ya shilingi bilioni 100 kila mwezi bila kuwepo unafuu wowote kwa wananchi.

9. Kuhoji bungeni suala la katakata ya umeme na migao ya umeme isiyoisha nchini iliyopelekea kuathiri uchumi na utoaji wa huduma zinazotegemea nishati ya umeme.

10. Kuhoji bungeni kuhusu suala la usimamizi mbovu na kupanda kiholela kwa bei ya mbolea na namna ilivyowaathiri uzalishaji na upatikanaji wa chakula nchini

11. Kuhoji bungeni juu ya kupanda kiholela kwa bei za bidhaa na gharama za maisha hali iliyopelekea mfumko mkubwa wa bei nchini huku Serikali ikishindwa kudhibiti hali hiyo.

KAMA HAYA MAMBO 11 NDIO YAMEMPONZA HADI JINA LAKE KUKATWA BASI TUNA SAFARI NDEFU SANA KAMA TAIFA
Serikali ya awamu ya sita iko mikononi mwa wapigaji, ukigusa tu maslahi yao unakwenda na maji
 
Haturudi sababu ya ujinga wake, kuna sababu gani za kung'ang'ania CCM? Zanzibar inawatu 1M+ inatuendesha sisi watu zaidi ya 59M ni upuuzi
Nilitaka kucheka hayo ya "Zanzibar...", hadi nilipokumbuka hayo ya mwanzo, kuhusu "kung'ang'ania kwake CCM."

Hivi haiwezekani kabisa kupambana humo ndani kwa ndani ya CCM yenyewe na kupata ushindi wa kuleta mabadiilko ndani ya chama hicho?

Tafadhari, naomba radhi kwa kuuliza swali kama hili linaloonekana kuwa la kipumbavu kabisa, lakini ukweli ni kuwa sijui jibu lake sahihi.
Ina maana huko ndani ya CCM, wote walioko huko sasa wanaamini kitu kimoja tu, maslahi yao, hakuna wengine wanaoona umuhimu wa maslahi ya nchi yao, na wao wakaamua kupambana humo humo ndani kwa ndani?

Binafsi, namshauri akazie hapo hapo. Katika mika yake iliyobaki kuwa bungeni, atumie fursa hiyo kujipambanua, na kuwaeleza waTanzania waelewe CCM ilikofikia.
 
Back
Top Bottom