Kama hizi ndio sababu za jina la Mpina kukatwa NEC

Mbunge na former Minister anakosa sifa wakati akina Msukuma Madokta wa kusoma na kuandika wana sifa. This is Tanzania.
 
Mpuuzi kama wewe lazima tuseme niwale walamba asali.
Mjinga mkubwa kama wewe kwa hizo point lazima utaona sawa kwakuwa anakuaribia ugali wako.
Akapime samaki kwa rula hahahaha, ushambaa, ushambaa! Kichaa mwenzetu
 
Serikali imeweka ruzuku ya Bilioni 100 kwenye mafuta umeshawahi kuona unafuu wowote au umeshawahi kujua hiyo Bilioni 100 analipwa nani na Serikali na Je umeshawahi kujiuliza hiyo nchi uliyoitaja ya Kenya kwanini Rais wake amefuta hiyo ruzuku ya mafuta wewe unajua yaliyojificha nyuma ya ruzuku ya mafuta hadi Rais wa Kenya akaamua kuifuta.

Haya mambo magumu ukitaja kuyajadili vizuri uwe na mifano inayoonekana sio UCHAWA
 
Kwetu sisi huku Vyombo vyote vya dola vipo kwa ajili ya kumfanya mkuu wa nchi ajifeel comfortable kiutawala. So, ya Mpina si mageni, yametokea toka awamu ya kwanza. Hata yeye Mpina akiwa rahisi yatatokea haya haya.
 
Kwetu sisi huku Vyombo vyote vya dola vipo kwa ajili ya kumfanya mkuu wa nchi ajifeel comfortable kiutawala. So, ya Mpina si mageni, yametokea toka awamu ya kwanza. Hata yeye Mpina akiwa rahisi yatatokea haya haya.
Wapambe wake wanasema atagombea Urais 2025 kupambana na Samia na chama chao na Polepole, Bashiru n.k.
 
Wapambe wake wanasema atagombea Urais 2025 kupambana na Samia na chama chao na Polepole, Bashiru n.k.
Wajinga—kama hawajui mifumo ya CCM, Wapumbavu—kama wanajua lakini wanajifanya hawajui. Hakuna wa kupambana na Rais aliye madarakani nchi hii—KIMIFUMO, KISHERIA NA KIMAMLAKA. Ni kujidanganya tu.
 
Na mwambieni awe makini pia kwani 99% ya anaowagusa ndiyo wale wale 'Waliotujonzi' hasa 'Kiumafia' Watanzania tarehe 17 Machi, 2021 na sasa Tanzania yote ni yao.
Nimezaliwa town na nimesoma sana kiswahili ila sikuwahi kujua kwamba mtu akikusababishia majonzi anakuwa "KAKUJONZI". Nimecheka kifala sana😃😃😃. Hii itakuwa lugha ya kijasusi?
 
Hii ni nchi ya kiqumer sijapata kuona. Inakuwaje hawa mbwa wanakata jina la mpina bila sababu zozote za maana? Wamelaaniwa wote waliokula njama za kukata jina la Mpina....miknd yao!
 
ANAANDALIWA KUPELEKWA UPINZANI HUYO! Ataenda CHADEMA na watampokea kumkaribisha meza kuu!

wanaandaliwa pandikizi na hivi huwa hawakomagi wataisoma namba
 
Hii ni nchi ya kiqumer sijapata kuona. Inakuwaje hawa mbwa wakata jina la mpina bila sababu zozote za maana. Wamelaaniwa wote waliokula njama za kukata jina la Mpina....miknd yao!
Hahaha, so unampenda Mpina na unafiki wake?
 
Kusema ukweli kuhusu upumbavu wa CCM ndio unafiki? Acha kuetea ujinga mkuu.
Ujinga wa CCM compare to what? Ujinga ni comparative mkuu, ukinipa ujinga wa ccm compare na wengine you can move me! Ila hadi sasa sijaona mbadala wa mimi kukimbilia, CDM? Jamaa wana majanga kuliko hata hao CCM
 
Kwa mnaoelewa.

LM, mpaka anatia Nia hiyo, wakati huohuo akiendelea kuwachapa Bakora Bungeni.
Anajua Game , ANAJUAAAA !!!


Na Hii game , inawezekana walomkata wamemkata kumkomesha, au kumkata kama taa nyekundu Kwa Wafuata Falsafa za JPM.


Inawezekana kabisa, wenye kufuata Falsafa za JPM ndio tumemtia Nguvu LM kua Chomekea , tuone mwitikio wao !!


HATA HIVO, KWENYE VITA HII, MSHINDI NI LUAGA MPINA !!!
 
Sijawahi kujua kuwa wasukuma mnapendana sana na mna msimamo katika umoja wenu.

Nawashauri endeleeni kuichachua ccm huenda upinzani ukaokota dodo baada ya ccm kupoteana
 

Mpina mwenyewe ubunge alipata kwa mtutu wa bunduki. Yani matokeoa yalilazimishwa.
 
Bahati mbaya sana viongozi walioko huku hawana tofauti na graduate wanaotafuta ajira... Wao kipaumbele chao ni kuisaidia serikali( mwajiri) na sii kuwatumikia wananchi
 

Ameshinda kwa kukatwa. Mpina mwenyewe alipata ubunge kwa mtutu wa bunduki 2020 pale jimbo la Kisesa, Meatu. Nashangaa Leo watu kumpapatikia.
 
CCM MBELE KWA MBELE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…