Kama hizi ndio sababu za jina la Mpina kukatwa NEC

Very sad ila asikate tamaa yeye ni mshindi ndiomana wanamuogopa. wala haisumbui dhamira akose nguvu za kujitetea kisiasa.
 
Usiwajibu wafia hujuma without freedom of Informed critics ndio basi tena kwisha habari, tatizo ni pale hata Magufuli mwenyewe hakupenda kukosolewa japo katika chama hakuwa na ubaya ukosoaji wa wabunge wa CCM ndiomana alimpa uwaziri ndugu Bashe
 
Aliyesema hayo ndio yamemkosesha hiyo nafasi ni nani ?
 
Ndo keshaliwa kichwa hayo mengine Ni kujifariji na huna Cha kumsaidia 😆😆😆.

2025 atafute kazi nyingine ya kufanya
 
Huyu tayari wamepiga panga la kisogoni, na polepole ndiyo hivyo tena ofisini kwake ni kwenye gofu msumbuji huko haingii tena vikao vya chama.
Wamebaki kina kitila, waitara mzee wa kvant mwitu na viroboto wengine nao wanasubiriwa wajichanganye.
 
Serikali ya awamu ya sita iko mikononi mwa wapigaji, ukigusa tu maslahi yao unakwenda na maji
 
Haturudi sababu ya ujinga wake, kuna sababu gani za kung'ang'ania CCM? Zanzibar inawatu 1M+ inatuendesha sisi watu zaidi ya 59M ni upuuzi
Nilitaka kucheka hayo ya "Zanzibar...", hadi nilipokumbuka hayo ya mwanzo, kuhusu "kung'ang'ania kwake CCM."

Hivi haiwezekani kabisa kupambana humo ndani kwa ndani ya CCM yenyewe na kupata ushindi wa kuleta mabadiilko ndani ya chama hicho?

Tafadhari, naomba radhi kwa kuuliza swali kama hili linaloonekana kuwa la kipumbavu kabisa, lakini ukweli ni kuwa sijui jibu lake sahihi.
Ina maana huko ndani ya CCM, wote walioko huko sasa wanaamini kitu kimoja tu, maslahi yao, hakuna wengine wanaoona umuhimu wa maslahi ya nchi yao, na wao wakaamua kupambana humo humo ndani kwa ndani?

Binafsi, namshauri akazie hapo hapo. Katika mika yake iliyobaki kuwa bungeni, atumie fursa hiyo kujipambanua, na kuwaeleza waTanzania waelewe CCM ilikofikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…