Verrazanno
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 604
- 1,343
Kwenye news kubwa za leo, limetokea jambo si la kawaida.
Mheshimiwa ameghadhibika vibaya mno kuambiwa laivu na Mbunge wa Kisesa kwamba wewe sisi huku tunakudai, na wanaosema hawakudai leteni hela zao huku kwetu tufanye maendeleo. Mheshimiwa Mwenyekiti amemkata jina Mbunge Mpina na kusema hafai kuchaguliwa mbunge tena.
Sasa, viongozi wote duniani husema naombeni mnirudishe kuongoza nifanye kazi ambayo imebakia. Sijamaliza.
Ukikasirika kuambiwa kazi bado, yani wewe unaona umemaliza, sasa unagombea ufanye nini ??
Mantiki iko wapi hapo ???