Kama hudaiwi, umemaliza yote, unakasirika kuambiwa kuna mengi ya kufanya, unagombea muhula mwingine ufanye nini ???

Kama hudaiwi, umemaliza yote, unakasirika kuambiwa kuna mengi ya kufanya, unagombea muhula mwingine ufanye nini ???

Aliamua kuanza ziara zenye utitiri wa watu wenye maisha magumu huko Shinyanga, Simiyu, Mwanza, Geita akidhani huwa wanaendekeza kuburuzwa. Wasukuma ni wakimya, wakarimu lakini ukiwakosea kuhusu kiongozi wanayemtaka utajuta. Kuna kipindi mwanzoni mwa upinzani 1992-1998 wananchi waliiochoka CCM ila walitumia ubabe tu.
Rejea wimbi la NCCR, na UDP ambapo ndio kinachoenda kufanyika mwaka huu.

Huu uongozi ni kwa ajili ya kulinda maslahi ya viongozi wasio na maadili mema na wanachukia sana kutetea maslahi ya wananchi na wakayaona.

Ni ukweli usiopingika Simiyu iko nyuma sana wakati ndio wenye rasilimali zinazonufaisha maeneo ambayo hayachangii chochote kwenye pato la taifa kama kilimo cha mazao ya chakula, biashara, madini, samaki ufugaji lakini wananchi wake ndio wanaongoza kwa umasikini uliotopea. Viongozi hawajali anapojitokeza kiongozi anayewawakilisha mahitaji yao, wanamchukia, wanamwekea mizengwe na kumtishia.

Zamu hii watawala watapewa somo ili wajenge heshima kwa wananchi na viongozi waliowachagua wasiwe wanawachezea.
Na hii ni mbinu muhimu sana waliobuni CCM inayowasaidia kutawala milele.

HAKIKISHA UNAUNDA BUNGE FLIMSY, DHAIFU KWA KUFANYA UBUNGE KAMA FAVOR, HISANI.

Kila Mbunge anawiwa kuwa mtiifu kwa saab ameingia kwa hisani, na ukiwatibua wanakukata. Gwajima na Mpina wamekatwa hadharani na Mwenyekiti kwa saab ni wabunge huru vichwani. Independent minded.

Kihistoria hushindi kura ya Kitaifa bila kubeba kanda ya Ziwa. Wapo milions upon milions. Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza, Mara.

Na wameona watu wao, watetezi wao wamenyanyapaliwa, wanakatwa wazi wazi. Itabidi kushinda kwa mbinde, kuzuia majina, voter fraud, rushwa, violence, na umwagaji damu.
 
Sure, the vivid vampire popped up to the audience to show off and suppressed a patriotic vein at gunpoint.

Very sad indeed!!!
 
Back
Top Bottom