Kama huelewi ubaya wa Majimbo ya Lissu, angalia kinachoendelea Ethiopia

Hivi nyie watu hizi propaganda za kipuuzi mnamdanganya nazo nani siku hizi?
Mbona hutolei mfano serikali za majimbo za Marekani?

Ethiopia vita zao ni za enzi, nyie endeleeni kumdanganya Awafu mpate ugali.
Kuna dhambi ipi kutolea mfano Ethiopia?
 
Mbona kwa Akina Nkurunziza hakuna majimbo na vita vya wa hutu na wa tutsi kila siku?

Namibia. Botswana. South Africa. Kenya etc kuna serikali za majimbo lakini hakuna shida?

Huu uzi wapelekee Darasa la saba Ndio watakuelewa
kilichosababisha kuundwa majimbio nchi hizo unakijua?

Tuanzie Kenya tu hapo walitwangana kwa ukabila wakauana kama kuku hadi Kikwete ndie akaenda kuwasuluhisha ndio wakaja na sera ya majimbo kila jogoo la kikabila liwike kwake

Afrika Kusini ndio usiseme wazungu na waafrika walitwangana ndani barabara haikuishia hapo makabila yakaanza kutwangana wao kwa wao ndio wakaunda serikali ya majimbo kila mtu awike kwake,Botswana,Namibia same case

Msumbiji hapo tatizo hilo hilo ukienda Nigeria same case ,ukienda Ghana same case

Marekani pia waligawana majimbo baada ya kutwangana hasa .Hata Ubelgiji walipigana wenyewe kwa wenyewe kikabila wakaamua waunde majimbo kila jogoo awike kwake. Uingereza pia
 
Serikali ya majimbo, haiwezi kuwa salama Kwa nchi za huku Africa hata siku moja!!!

Watu wenyewe ni kina Lisu wapenda madaraka, kuna mtu atajikuta akijitwisha Uraisi wa Jimbo Fulani na kutaka liwe na mamlaka kamili
 
Ethiopia haijawahi kutawaliwa hauoni kama Ethiopia ni taifa kongwe kuliko USA?
 
Kwa sisi wenye akili huwa tunatizama USA na kwengineko wenye serikali za majimbo kujua wamepataje mafanikio. Wewe mtumwa enedelea kutizama Ethiopia moja
Aliyekuambia majimbo yote marekani yamefanikiwa nani kuna majimbo maskini watu hawawezi hata kupanga chumba japo wana kazi.Angalia Hawa walala kwenye magari pamoja na kazi walizonazo

 
Dogo, unajua mtwara imeishatekwa na magaidi ya ISS mpaka tunavyoongea,

we kalisha miatako yako lumbumba unajichekesha ili polepole akulipe buku 7

Unajua tumeishapoteza wapiganaji na Rai wangapi?
Unajua tumeishapoteza raslimimali, vifaa vya kijeshi vingapi?

Au mtwara Ni Jimbo la lissu?
 
Serikali ya majimbo, haiwezi kuwa salama Kwa nchi za huku Africa hata siku moja!!!

Watu wenyewe ni kina Lisu wapenda madaraka, kuna mtu atajikuta akijitwisha Uraisi wa Jimbo Fulani na kutaka liwe na mamlaka kamili
Marekani kwenyewe ukitaka kuhamia jimbo kwanza tizama hapa kuna majimbo yana hali mbaya mno.Kabla kujua waenda wapi tizama hapa kwanza

 
Mkuu hebu


umuwache Lisu wa watu


Hukuishi kumutajataja tu.

Pambania Taifa laki.
 
Leteni maendeleo acheni mbwembwe si mmeshinda kwa kishindo!
Kwani lussu kaleta majimbo nyie watu vipi
 
Ingekuwa Poa Ungetoa Maelezo ya Kutosha Kuhusu Hicho unachoeleza Achana na Propaganda Hizo Kuna Nchi Zina Migogoro yao Tangu enzi na Ina sababu zake na Wala sivyo hivyo mnavyoaminishwa au Kuona.Naamini Kila Kitu Kina Prons na Cons zakeHebu tuwekeee Ukiitoa Hiyo sababu bubu ya Kutoka Nhi ya Ethipia.Dadavua Vizuri Faida Ya Kuwa na Majimbo na Hasara Zake na Pia Faida na Hasara kwa Kubaki Hivivi.na Mifano ya Nchi Mbalimbali zilizo feli kwenye Hilo la Majimbo na Sababu za Kufeli.Hebua Tuanzie Hapo,Natamani sana Kuelewa Hapo Maana Kuna Vitu mimi naamini vinawezekana ila Kwa Roho mbaya za mwanadamu na Siasa zetu hizi inaonekana kama haviwezekanii vile.Ahsante
 
Vipi kuhusu marekani nayo ina majimbo kama ya lisu unazungumziaje wewe chawa?
 
Kwa akili zako za kitumwa, unaonaje Slavery ikarudi Tanzania? maana nikiwatizama watanzania naona bado hatuwezi kujitawala
 
Aliyekuambia majimbo yote marekani yamefanikiwa nani kuna majimbo maskini watu hawawezi hata kupanga chumba japo wana kazi.Angalia Hawa walala kwenye magari pamoja na kazi walizonazo

Kwa hio mfumo uliopo sasa unasema kuwa haufai? Maana Tanzania ina watu maskini wengi!
 
Lissu anasingizia kuibiwa kura but hajaangalia mkataba wao fake waliotaka kuingia na wananchi (ilani ya chadema) wananchi walipodokezewa madhara yake walipiga U-TURN ya kufa mtu hadi chadema wakachangayikiwa na kuanza kunena kwa lugha ya kishetani ya kuingiza watu barabarani.
 
Kwa hio mfumo uliopo sasa unasema kuwa haufai? Maana Tanzania ina watu maskini wengi!
Mfumo wetu mzuri huwezi kukuta maskini asiye na nyumba ya kulala USA wako kibao pia kwetu ukiona mtu hana pa kulala ni kichaa.Lakini NENDA KENYA tu hapo mtu unakuta anaishi nyumba ya ma box au ma nailoni na ana digriii
 
Kwa uandishi huo kama umesogea sana ni form 4!
Nikweli hujakosea.
Nilishawaambia sikuzote mm sio mwandishi mzuri.
Ila kama umeelewa na hoja twende na mada husika.
Maaana nitakuelimisha hata ukitaka mifumo yote ya kuendesha serkali faida na hasara zake kwa kizazi chako.
 
Mataifa yote yanayoendesha serikali zao kwa mfumo was majimbo ndiyo yanaongoza kwa maendekeo. Kanusha nikupe facts!
Rwanda hkn kitu pale zile majimbo hawana. Saut zid ya kagame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…