mlimilwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,268
- 3,439
Tunapozungumzia ukongwe wa kiutawara tunaangalia na ukongwe wa kisiasa pia.Ethiopia haijawahi kutawaliwa hauoni kama Ethiopia ni taifa kongwe kuliko USA?
Kama hawajatawliwa na walijiongoza kifalme labda huyo bado ni tatizo kwa mifumo ya dunia ya leo.
Bado nauliza tena.
Tanzania tangu ipata uhuru ina Rais wa awamu ya 5.
Marekani wa 45.
Wa ethiopia ni raisi wa ngapi?
Na hata wale waliotaka kuwatawala walishindwa wasingekua na muongozo au mfumo wa kuwafundisha kujiongoza.
Lazima.wangefuata mfumo wa waingereza au wafaransa..