Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaaa dadra Acha tu..... nakumbumbuka tulipoooana na WiFi kila asbh tunahondomolaaa asbh mapema tunaenda kazini hahaa leoo hii anakwambia asbh siwezi ntachoka kasinii nkamwambia Chamechaaal maeMungu atusaidie kwakweli. Ukiingia kwenye ndoa shetani analeta majaribu ambayo bila msaada wa Mungu kuyashinda ni ngumu. Ukiwa single wala hautawaona wale wakaka wenye ni “tall dark and handsome” halafu wana hela wanakufuata….olewa sasa😂😂😂😂
Apostle Pdidy huu ndo mkeka au kela la ndoaNdugu zangu za ASBH, najua wiki imeanza na kuna watu Ijumaa na Jumamosi wanatarajia kuoa. Vyema, nkasema niwashauri bado wana nafasi ya maamuzi hizi siku 4-5 zilizobaki.
Kama unahisi hauko tayari kuingia kwenye ndoa, usiingie. Huu ni ushauri wa bure... kwenye ndoa hakuna red carpet tu, kuna na mchanga na mavumbi.
Ukifanya maamuzi ya ndoa, jua umefanya uamuzi wa kupambana na Shetani. Ujiandae kweli kupambana na Shetani. Shetani kazi yake ni kuua na kuharibu, kwa hiyo kama ujajiandaa kupambana naye, usiingie kwenye ndoa.
Ndoa nyingi zimevunjika ama ziko kwa ICU siyo mapenzi ya wanandoa. Kuna Shetani ameingia ndani ya wanandoa anataka wasambaratike.
Kama ujawaza kujiandaa na machungu ya ndoa, basi hata usiwe na hisia za ndoa kabisa. Utakufa. Ndoa ni mapenzi ya Mungu, ndani ya hayo mapenzi Shetani huzunika sana. Ujue kuna wengi walikuwa malaya baada ya ndoa wakabadilika, Shetani anaumia sana.
Ndugu, bado una muda wa maamuzi, usikimbilie ndoa ukafurahisha watu, utalia.
Jitatu njema.
Japo ni asubuhi mno lakini nami nakazia hapa....waangalie moyo unasemaje....umeandika kitu ambacho wasipokuwa serious watajutia mnoNdugu zangu za ASBH, najua wiki imeanza na kuna watu Ijumaa na Jumamosi wanatarajia kuoa. Vyema, nkasema niwashauri bado wana nafasi ya maamuzi hizi siku 4-5 zilizobaki.
Kama unahisi hauko tayari kuingia kwenye ndoa, usiingie. Huu ni ushauri wa bure... kwenye ndoa hakuna red carpet tu, kuna na mchanga na mavumbi.
Pesa hutafutwa mkuu...kama umehisi si mtu sahihi kwako tuliza kichwa kwanzaBwana! Ukumbi na Vyakula vimekwisha lipiwa. Tufanyeje?
Inaumiza sana ila ndo maisha....Sanaa mkuuu ukifnyaya mchezo utabakia na jina ulikuwa husband of....wife of. ...
Cc panyaroad
Ndiyo nini hii umeandika?Mi ilikuwa ijumaa mwanamke kaandika hajii kanisan jmosi mkuu nikaenda kukaaa Pale new Africa nasikilizia madada kama wamemwona ndio niingie Azania kanisan...akaja ltee hr ...ndugu tulipofunga Nov 5...Dec 15 kila mtu akafa na lake ...achatu
🤣🤣🤣🤣YAANI NIMEKUJA KUREST HOTELIN SINZA SIJALALA TOKA JANA CHUMBA CHA JIRANI WANAHONDOMOLA KAMA WANATAKA KUBOMOA UKUTA AISEEE....HAWAJUI TUMEKUJA KUTAFUTA UTULIVU DAH
Kama uliyenae ulishampenda toka mwanzo hakika hutosumbuka cuteMungu atusaidie kwakweli. Ukiingia kwenye ndoa shetani analeta majaribu ambayo bila msaada wa Mungu kuyashinda ni ngumu. Ukiwa single wala hautawaona wale wakaka wenye ni “tall dark and handsome” halafu wana hela wanakufuata….olewa sasa😂😂😂😂
Ni kweli babeKama uliyenae ulishampenda toka mwanzo hakika hutosumbuka cute