mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
Mkuu uamuzi kuhusu ndoa ni mkataba wa ubia kati ya mwanaume na mwanamke kwa wakati na mazingira sahihi. Kila upande huwa na historia ya maisha binafsi kabla ya kuingia katika mkataba wa maisha ya pamoja.
Kuna "strengths & weaknesses" kwa kila upande, na pia zipo "opportunities & threats" katika kuendesha ubia huo. Ili ubia uwe na ustawi ni lazima wanandoa wawe na mtazamo chanya wa kukubali kubeba na kuachia mapungufu ya mwenzi wake.
Aidha ni lazima wadhibiti tishio la mahusiano yao kutoka katika mashinikizo ya nje. Haya hujumuisha ndugu, jamaa, na marafiki wa karibu. Yote ya yote ni kujenga tabia ya uaminifu kwa mwenzako na kuendesha mambo ya faragha ya ubia wenu kwa usiri mkubwa.