Kama hujajiandaa kuingia kwenye ndoa usiingiee kabisa

Mungu atusaidie kwakweli. Ukiingia kwenye ndoa shetani analeta majaribu ambayo bila msaada wa Mungu kuyashinda ni ngumu. Ukiwa single wala hautawaona wale wakaka wenye ni “tall dark and handsome” halafu wana hela wanakufuata….olewa sasa😂😂😂😂
 
Hayo mambo ya ndoa sijui matatizo ya ndoa sijui shetani na ndoa ,mnayakuza tu, wakati tatizo kubwa ni afya ya akili.
 
Kabisaaaa dadra Acha tu..... nakumbumbuka tulipoooana na WiFi kila asbh tunahondomolaaa asbh mapema tunaenda kazini hahaa leoo hii anakwambia asbh siwezi ntachoka kasinii nkamwambia Chamechaaal mae
 
Apostle Pdidy huu ndo mkeka au kela la ndoa
 
Japo ni asubuhi mno lakini nami nakazia hapa....waangalie moyo unasemaje....umeandika kitu ambacho wasipokuwa serious watajutia mno
 
Japo ni asubuhi mno lakini nami nakazia hapa....waangalie moyo unasemaje....umeandika kitu ambacho wasipokuwa serious watajutia mno
Sanaa mkuuu ukifnyaya mchezo utabakia na jina ulikuwa husband of....wife of. ...
Cc panyaroad
 
Mi ilikuwa ijumaa mwanamke kaandika hajii kanisan jmosi mkuu nikaenda kukaaa Pale new Africa nasikilizia madada kama wamemwona ndio niingie Azania kanisan...akaja ltee hr ...ndugu tulipofunga Nov 5...Dec 15 kila mtu akafa na lake ...achatu
Ndiyo nini hii umeandika?
 
YAANI NIMEKUJA KUREST HOTELIN SINZA SIJALALA TOKA JANA CHUMBA CHA JIRANI WANAHONDOMOLA KAMA WANATAKA KUBOMOA UKUTA AISEEE....HAWAJUI TUMEKUJA KUTAFUTA UTULIVU DAH
🤣🤣🤣🤣
 
wengi wanaoingia wanawaza akizingua natoka nenda kawaze na wale Watoto unaowaacha wanaishsije wanatesekaje unajua watotoo wa single maza wakikua machungu yao..wengine wanahamishiahadi makaz....
 
Kama uliyenae ulishampenda toka mwanzo hakika hutosumbuka cute
 
NDOA!!!!????????????????????😳😳😳😳
 
kuna mdada nilitaka kuoana nae huko miaka ya nyuma akasema siwezi kuolewa na masikini mwenzangu...majuzi kaletwaa na dalali kupangisha chumba nyumban kwangu nkamtania siwezi pangisha masikini mwenzangu
.....kalipaaa miezi 4 nkamwandikia amelipa 6...alishujurujeee
 
Siku za mwanzo za mapenzi huwa tamu kiasi hata mmoja akijamba hakitoi harufu!....days to come watakuja kufukua huu uzi na mayowe mengi na sisi tutashauri ipasavyo...let them be,dont try to wake em up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…