Kama hujajipanga vizuri usichokoze ujenzi

Natumai atakuwa ameelewa
 
mimi nina tabia ya kumwita fundi na kumuomba tathmini ya kila kitu hadi pesa yake then namwambia mimi nina kazi yangu mimi sio fundi tunaachana extra atajua yeye huwa nalipaa kwa interval na sinaga huruma kwa uzembe wowote.
 
Usithubutu kumuachia fundi Hela yote kiongozi,,, Kuna jamaa kamuachia fundi Hela Jana kapigiwa simu kuwa wameshafunga lenta ( hahaha! Wajinga wameweka nondo 1 Tena 10mm ) ndiyo jamaa kaamua kitu kishushwe kianze upya.
 
Huu ushauri umekaa vizuri unamotisha ndani yake na mbinu hasa hii ya akiba ujue kukiwa na kiakiba siku zote kinakupa confidence ya kuishi.
 
Hapa sasa Mkuu
Na hakikisha huyo mtahalam ama fundi aliyekupa hizi infor hahusiki na ujenzi bali ushauri tu, epuka kupigwa.

tupeane mbinu maana wengi ili akupe taarifa anategemea atapata kazi
 
Hivi hamna makampuni yanyofanya hivi??
Maana stress zaidi ni kufanya kila kitu wewe, na hii ni kwasababu tu ya ukata maana mafundi hawachelewi kukuliza.

Ni bora kampuni isimamie afu wewe utakua unalipa mdo mdo.
 
Kwa nyumba hizi zetu za kawaida sehemu inayoumiza ni ile ya kupaua, aisee

Yani ile hatua inataka na kesh

Lakini kwingine unaenda mdogo mdogo hata kama una elfu 50 unafanya kitu
 
Kwa nyumba hizi zetu za kawaida sehemu inayoumiza ni ile ya kupaua, aisee

Yani ile hatua inataka na kesh

Lakini kwingine unaenda mdogo mdogo hata kama una elfu 50 unafanya kitu
Ukipaua, hiyo elfu hamsini unafanyia kitu gani kwenye nyumba
 
Ukipaua, hiyo elfu hamsini unafanyia kitu gani kwenye nyumba
Unaweza hata kupiga plasta mfuko mmoja mmoja.mfuko 15 ufund 15.usafir buku mbao ya jukwaa kukod siku 3 elf 2.
15
+ 15
2
Total 32.baki 13
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla na rejareja :-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu pia Tunafanya delivery kwa wakazi wa Dar es salaam
Ofisi zetu zipo Tegeta kibaoni-Bagamoyo road
 
Hivyo vitu vya Kiingereza ni vya ziada. Cha muhimu ukisha paua na kuweka mlango mmoja basi hamia.
 
nmeipenda hii nadharia ya kulala sebuleni km Tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…