Nmeanza ujenzi 2011-
nikajenga nyumba yangu ya kwanza ya kuishi (3 bedrooms,kimoja master),
mwaka 2013 nilipofulia nikaiuza nikarudi kupanga.
Nikafata 2014,
Nikajenga nyumba ya biashara (fremu 2+ godown 1)
Nikaja 2015
Nikajenga nyumba nyingine ya kuishi,
(5 bedrooms, viwili master)
Nikaja 2017
Nikajenga nyumba ya biashara
(Vyumba 10,vyote master)
Nikaja 2018,
Nikajenga nyumba ya kupangisha
(Chumba na sebule self- ziko 3)
Nikaja 2019,
Nikajenga nyumba ya kupangisha
(Chumba na sebule self-iko 1, na chumba single self-iko 1)
Nikaja 2020
Nikanunua pagale la
Vyumba 2 na sebule self (HAIJAKAMILIKA BADO)
Nikaja 2021
Nikaongeza chumba na sebule hazina self- ziko 2
Mwaka huu,
Nnaujenz wa mdg wa nyumba 3
-nyumba 2 nazijengea fensi kuzunguka,
na nyumba 1 nnazoezi la kuinua kuta ili ipande hewan, kufunga gypsum board na kuiwekea tiles ili niipangishe kwa Ela ya juu kdg.
Ujenz bado unaendelea.....
Sent using
Jamii Forums mobile app