Kama hujajipanga vizuri usichokoze ujenzi

Kama hujajipanga vizuri usichokoze ujenzi

Nyumba Ndogo ndogo
Wengi wamekushangaa kusema unajenga kila mwaka lakini its possible hasa rental units. Kuna twin two-bedroom units nilianza mwaka jana mwishoni i think, sasa hivi nafanya finishing.

Plan yangu niimalize ndani ya mwaka then nianze ingine. Na niko ndani ya muda niliopanga. Rental units hazina mbwembwe full basics ila smart.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Unaweza kufa na nyumba ukaacha hapo, otherwise jenga bila haraka, kwa awamu na taratibu uta enjoy

Ukifikia level vitu vya kingereza uwiiiiii ni stress juu ya stress hasa kama unafosi nyumba kuisha na budget yako ni ndogo

Hongereni watu mnaomiliki mabangalooooo

Hongereni mnaomiliki ghorofa
Msihangaike na ujenzi mtakuja kuangukiwa na tofali halafu mfe bure
 
Leo ndio nimeamini kuwa zoezi la ujenzi wa nyumba linaweza likawa la kawaida na la haraka katika ngazi za awali ambapo hatua za ujenzi au vifaa vinaitwa katika lugha yetu pendwa ya Kiswahili mfano kuchimba msingi, kuzipanga tofali, kukoroga zege n.k.

Pale vifaa na kazi inapobadilisha lugha kuhamia kwenye lugha ya wenzetu yaani Finishing, sjui plaster, tiles, furniture n.k hii ngoma huwa inaenda mdogo mdogo kama konokono hadi kukamilika kwake.
 
kama ulikurupuka lazima uone hivyo, lakin kama ulijipanga na ukajua pesa yako itakufikisha wapi ktk ujenzi huwez kuona cha ajabu, WaTz mnataka kufanya ujenzi ni jambo la ajabu, la kitajiri, lisilowezekana na kwajil ya watu wachache tu.

Wakat mtaani watu wa maisha ya kawaida wanajenga na husikii wakilalamika... Watu wanajenga nyumba na kila weekend wapo bar wana mwagilia moyo 😂 kutana na akina sisi sasa kelele nyingi kumbe hatukujipanga tu
 
my plan.jpeg
Mwisho wa siku mtajenga tuuu......mkirudi kwenye kujenga msiache kunipa kazi ya ramani whatsaap/call 0744547819
 
Mkuu andaa hiyo hela, huyo jamaa sio muongo. Mimi binafsi nimetumia milioni 30 kuanzia msingi hadi kupaua. Hesabu zake ni halisia sana
Asanteni,nilijua nimepigwa na msimamizi wangu lakini nimetumia garama hizo hizo tajwa ,sahivi hatua zingine nipo mwenye site kusimamia sitaki mtu kati
 
Huu uzi kama nimeuelewa vizuri ni kwamba kwa nyumba tajwa gharama za kupandisha ukuta hadi kupaua TU ndio ~30M, sio??
 
Huu uzi kama nimeuelewa vizuri ni kwamba kwa nyumba tajwa gharama za kupandisha ukuta hadi kupaua TU ndio ~30M, sio??
Yes...hasa kuanzia nyumba room 3 ... Na ni nyumba ya block mpaka plaster, nje ya hapo ni stori za vijiweni
 
Asanteni,nilijua nimepigwa na msimamizi wangu lakini nimetumia garama hizo hizo tajwa ,sahivi hatua zingine nipo mwenye site kusimamia sitaki mtu kati
Hongera umepambana sana, kama kupigwa ni kidogo sana, maana sio muda wote unakaa na mafundi
 
Back
Top Bottom