vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Hata milion mbili unaweza ujaenda kama unataka sehem ya kulala
Mbona kuna mwamba amesema katumia milioni 6 na laki 8 nyumba imara kama chuma nyie wengine hizo milioni 30 mnajenga kwa WhatsApp nini?