political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 295
- 792
Hapana upigwi mkuu,kimepimwa,unaenda kutembelea nakupa hati unafatilia uhalali woteNgoja nitulie nisije kupigwa !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana upigwi mkuu,kimepimwa,unaenda kutembelea nakupa hati unafatilia uhalali woteNgoja nitulie nisije kupigwa !!
Umenena mkuuMimi pia nilikua natishwa hivyo hivyo ila kujenga ni rahisi sana mzee
Mbinu unayotakiwa kutumia kwanza usijenge kama adhabu alaafu pili punguza matumizi yasiyo ya lazima na uanze ku save, ukisha save tenga kiasi Cha akiba alafu Anza ujenzi hakikisha ujenzi wako usiguse kabisa pesa ya akiba uliyo nayo.
Kama uliamua akiba yako iwe laki 3 fanya ufanyavyo tafuta hela tupia kwenye ujenzi ila huo ujenzi usiguse hiyo akiba yako, tafuta fundi akupigie hesabu ya vifaa na gharama za ufundi mtoe chake afanye kazi ila akiba yako ibaki palepale.
Epuka kujenga kwa kutumia hela zote Hadi kumaliza akiba yako yote utateseka zaidi na ujenzi hautakiwi uwe ni mateso.
Mbinu hizi za ujenzi tunatumia sisi wagangaa njaa na ukiweza kutumia hiyo mbinu utajenga Kama tajiri kumbe huna utajiri wowote na jengo litaisha bila maumivu
Hapana mkuu,Sasa we si una unafuu wa kipato, kwa wale kipato hakipo stable lazima bati lipauke...ujenzi kwa wengi si lelemama[emoji848]
Mkuu,Mkuu unarefinance au zote cash?
Mkuu,
Nyumba Huwa nnajenga nnapokua na hela cash ya material za Kuanzia msingi mpk namaliza.
Nikiwa na mil 15 na kiwanja kipo,
nakua na uhakika wa kutoa chumba elfu na sebule Kuanzia msingi mpk finishing ya maana.
Hela ya fundi hainiumizi sn Kichwa maana hailipwi kwa wkt mmoja.
Na mafundi wangu Ni wale wale miaka nenda Rudi, wakifika site wanatia kambi. Napeleka unga,mchele,mafuta,maharage na Ela kdg ya viungo na kabadilisha mboga.
Wanaweza kujenga Bila kuchukua hata Mia mbovu,nikaja walipa ela yote nyumba ishakamilika kazi zote.
Nikimaliza naweka mpangaji,
Naaza kula Ela ya Kodi HARAKA .
Nikifulia naenda kuombea mkopo bank narudisha kwny mzunguko wangu,
Mambo yakigoma kabisa,
Nauza Moja kwa Moja nafanya ishu nyngn
Hapana mkuu,siku hizi kuna tofari kubwa ya kuchoma inasimama peke yake japo ni inapungua kidogo kwa ukubwa wa block. Kwahiyo ukitumia hii inasave sana ambavyo kama ungetumia block.Nadhan Ni tofal 4 za kuchoma kwa tofali Moja la block,hapo azidishe Mara 4[emoji4]
Mkuu. Yapo matofari makubwa pia ya kuchoma yanatumika sana huku mikoani hasa sehemu yenye udongo wa mfinyanzi. Yaani linasimama lenyewe 1 tu.Kwahio unafikiri nyuma inayohitaji matofali ya block 4,000 itatumia matofali ya kuchoma 4,000? Hivi huwa yanakuwa size sawa?
Okay nalo ni tzs 100/200? Mkoani mna Raha sana.Mkuu. Yapo matofari makubwa pia ya kuchoma yanatumika sana huku mikoani hasa sehemu yenye udongo wa mfinyanzi. Yaani linasimama lenyewe 1 tu.
Ukinunua ni 200 to 250 mpaka site,ila ukiamua kuchoma mwenyewe tofari unapigiwa shs 70,kuni na watu wa kuchoma ni wewe mwenyewe unakuta linacost 150,so kuna unafuu fulani hivi ukichoma mwenyewe.Okay nalo ni tzs 100/200? Mkoani mna Raha sana.
Likizidi ni 300Okay nalo ni tzs 100/200? Mkoani mna Raha sana.
Poa nimekuelewa mkuu, upo vizuri.Mkuu,
Nyumba Huwa nnajenga nnapokua na hela cash ya material za Kuanzia msingi mpk namaliza.
Nikiwa na mil 15 na kiwanja kipo,
nakua na uhakika wa kutoa chumba elfu na sebule Kuanzia msingi mpk finishing ya maana.
Hela ya fundi hainiumizi sn Kichwa maana hailipwi kwa wkt mmoja.
Na mafundi wangu Ni wale wale miaka nenda Rudi, wakifika site wanatia kambi. Napeleka unga,mchele,mafuta,maharage na Ela kdg ya viungo na kabadilisha mboga.
Wanaweza kujenga Bila kuchukua hata Mia mbovu,nikaja walipa ela yote nyumba ishakamilika kazi zote.
Nikimaliza naweka mpangaji,
Naaza kula Ela ya Kodi HARAKA .
Nikifulia naenda kuombea mkopo bank narudisha kwny mzunguko wangu,
Mambo yakigoma kabisa,
Nauza Moja kwa Moja nafanya ishu nyngn
Vyumba vinne nilimaliza boma kwa 15m, mpaka kupaua ikafika 30m, mpaka dakika hii imeshakula 60m na haijaisha kabisa.Jamani kwa ambao waliapaua mpaka bati kwa vyumba vinne watoe mchanganua wa gharama kwa eneo la dar .. msaada please!!
Ila hongera kwa sababu umethubutuMwenzio mimi nimetupia hela yote kwenye ujenzi, alafu sijafikia malengo ya kugonga bati basi ni stress juu ya stress
SureKwa kipato cha wengi wetu si rahisi
Labda kama wewe Mungu kakubariki vikubwa zaidi
Kaka wewe ni Don nikopeshe mtaji kidogoNmeanza ujenzi 2011-
nikajenga nyumba yangu ya kwanza ya kuishi (3 bedrooms,kimoja master),
mwaka 2013 nilipofulia nikaiuza nikarudi kupanga.
Nikafata 2014,
Nikajenga nyumba ya biashara (fremu 2+ godown 1)
Nikaja 2015
Nikajenga nyumba nyingine ya kuishi,
(5 bedrooms, viwili master)
Nikaja 2017
Nikajenga nyumba ya biashara
(Vyumba 10,vyote master)
Nikaja 2018,
Nikajenga nyumba ya kupangisha
(Chumba na sebule self- ziko 3)
Nikaja 2019,
Nikajenga nyumba ya kupangisha
(Chumba na sebule self-iko 1, na chumba single self-iko 1)
Nikaja 2020
Nikanunua pagale la
Vyumba 2 na sebule self (HAIJAKAMILIKA BADO)
Nikaja 2021
Nikaongeza chumba na sebule hazina self- ziko 2
Mwaka huu,
Nnaujenz wa mdg wa nyumba 3
-nyumba 2 nazijengea fensi kuzunguka,
na nyumba 1 nnazoezi la kuinua kuta ili ipande hewan, kufunga gypsum board na kuiwekea tiles ili niipangishe kwa Ela ya juu kdg.
Ujenz bado unaendelea.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyumba vinne nilimaliza boma kwa 15m, mpaka kupaua ikafika 30m, mpaka dakika hii imeshakula 60m na haijaisha kabisa.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Inategemea. Kama unategemea kuretire soon, kuishi karibu na mijini ni kero. Bora kuwe na kaumbali na sehemu yenye nafasi hata kuweka kuku wako wawili watatu na kabustani ka mboga mboga. Kwenyda mjini mara mbili kwa mweziIla ni Vyema kujenga karibu. Ukijenga Mbali na City Center garama za usafiri zako, Pengine wife kama anafanya kazi na watoto wanaoenda Shule zinaweza fika laki 2 kwa mwezi😁na haya mafuta yanavyopanda kila kukicha ata kavitz unaweza kukipark
HahahaUkisha ingia level vitu majina ya kingereza.ni shida
Gharama inaweza kuwa kubwa au ndogo kulingana na eneo ulipo, kwa Mwanza mfano, gharama ya mchanga, mawe, maji na matofali si ghali sana kama nilivyoona kwenye mchanganuo wako.Ok
Kama una kiwanja sawa
Foundation andaa milion 4 (settings ya kiwanja laki 3, mawe trip 15 za cum 4.5 @110,000. Mchanga trip 5@120,000, nondo 50@26,000. BRC, cement 50@16,000 na tofali 1500 na ufundi.
Pagale tofali 3000@1200, nondo za linta 40, cement 80 au 100 ukimimina na nguzo za verandah,
Mbao za Kenchi ukiwa na milioni 2.5 na bati 130 kutegemea na grade andaa milioni 4.5 kwenye bati na ufundi
Kwa haraka haraka msingi hadi kuezeka sio chini ya milioni 25 hadi 30 kutegemea na eneo na uaminifu wa mafundi.