Kama hujajipanga vizuri usichokoze ujenzi

Kama hujajipanga vizuri usichokoze ujenzi

Kuna huyu jamaa mm ndiko na nunua Cement na nondo. Bei iko vzr mnooo
Kujenga jitahidi kubana matumizi kwa vyovyote. Kwa ss natafta chaka la kupata material ya finishing. Tena ya kisasa najua nitapata tu. Maeneo ya tabata,tazara na industry area keko.
Screenshot_20220814-092830_Facebook.jpg
 
Mbona unatusimanga mkuu[emoji16]
Endeleeni kukatishana tamaa... Mtaani mama ntilie, muuza matunda, mwenye genge, machinga, fundi viatu hawa wote wanajenga nyumba nzuri tu... Mnaishia kuwaita wachawi freemason majambaz, wakat ukweli ni kwamba wakipata 10,000 basi 6,000 wanaitunza kwajili ya kununua matofali au cement...
Wengi mnasema kujenga ni kugumu kwasabab hamjui nini maana ya ramani, hamjui nini maana ya kiwanja, hamjui nini maana ya materials, hamjui kufanya utafiti wa bei za materials, bei za mafundi wazur wenye uzoefu, hamjui kukaa chini na kumpa masharti fundi (akiyashindwa aache kazi au atakosa malipo), fundi anekuambia zinahitajika cement mifuko 30 kazi ipo katikati anakuambia ongeza mifuko 20 unamchekea chekea tu lazima akuone fala akuchezee akili, kuna watu mnaokota raman hujui ina ukubwa gani [emoji23] hujui lolote unamwambia fundi wew jenga tu ilimradi nyumba ifanane na hii ramani, ktk mazingira haya lazima uone ujenz ni gharama...
Wewe kijana una biashara yako nzuri au una kazi nzuri ya uhakika miaka inazid kwenda upo umepanga chumba kimoja au chumba na sebule kazi yako kumlipa kodi mwanaume mwenzako are you stupid..? Bad enough ukute upo na Familia ktk nyumba ya kupanga... Kujenga ni jambo la kujitambua tu, haina haja kisa unajenga eti ushindwe kunywa bia kula vzuri au kununua nguo... Ni mpumbavu tu anayeweza kuogopa ujenzi mtakufa masikini ktk nyumba za watu...
 
Uzi wa matajiri huu, majobless hawagusi huku kwa moto[emoji23][emoji23].

Anyway, before ujenzi hakikisha kabisa unajua nn unataka kufanya.

Usikurupuke ktk ujenz.

First of All juwa unahitaji nyumba ya aina gan, una bajeti gan in your hand, pia jua gharama kuanzia msingi mpaka finishing.

Hakikisha unamtafta mtahalamu wa ujenzi akupe full information ya ujenzi kuanzia aina ya ramani, eneo la ujenzi, vifaa vya ujenzi na bei zake, pia gharama za mafundi na ubora wao, bila kusahau muda muafaka wa kukamilisha ujenzi kwa mafundi wanapopewa kazi.

Pia hakikisha unapewa alternative ways za ku avoid gharama za ujenzi, mfano kwa kutumia baadhi ya materials cheap badala ya zile higher price, pia mbadala wa materials mfano kwa baadhi ya mikoa nchin unaweza tumia tofari za udongo za kuchoma badala ya tofali za blocks ambazo ni gharama,

let's say ujenzi wa nyumba mpaka kukamilika ni tofari elfu4, so piga hesabu 1block= 1000Tsh, so 4000blocks will be 4millions[emoji23][emoji23]asee gharama za bati hizi, lkn kama unge avoid kwa njia mkato utanunua tofar za kuchoma zile za 100/200Tsh per one, ambapo kama idadi 4000 basi itakuwa 100×4000 = 400,000Tsh[emoji23][emoji23] ela ndogo sana ambapo unaweza ongezea na zingine za fensi,

Kamwe usijenge kwa kufuata mkumbo, nyumba ni nyumba haijalishi imejengwa kwa tofar gan, lamsingi tutakutana kwenye Finishing[emoji23][emoji23].

Pia hata ktk bati, kama unaona kabisa bajeti haitosh basi usisite kuachana na msouth kamatia bati hiz hizi za kawaida na zipige rangi moja TAAAM ambayo itazuia bati kuchakaa haraka pia kuleta muonekano mzuri.

Mengine jiongeze.
Kamwe usikurupuke kuanza kutafta mafund wakat hujui bei ya siment wala nondo na hujui gharama halali za mafundi ktk level mbalimbali ktk ujenzi.

Na hakikisha huyo mtahalam ama fundi aliyekupa hizi infor hahusiki na ujenzi bali ushauri tu, epuka kupigwa.

Baada ya kujua yote hayo sasa jipange na mahela yako utajua unaanzaje ujenzi awamu kwa awamu kulingana na bajeti yako tena kwa muda sahihi,
 
Nmeanza ujenzi 2011-
nikajenga nyumba yangu ya kwanza ya kuishi (3 bedrooms,kimoja master),
mwaka 2013 nilipofulia nikaiuza nikarudi kupanga.

Nikafata 2014,
Nikajenga nyumba ya biashara (fremu 2+ godown 1)

Nikaja 2015
Nikajenga nyumba nyingine ya kuishi,
(5 bedrooms, viwili master)

Nikaja 2017
Nikajenga nyumba ya biashara
(Vyumba 10,vyote master)

Nikaja 2018,
Nikajenga nyumba ya kupangisha
(Chumba na sebule self- ziko 3)

Nikaja 2019,
Nikajenga nyumba ya kupangisha
(Chumba na sebule self-iko 1, na chumba single self-iko 1)

Nikaja 2020
Nikanunua pagale la
Vyumba 2 na sebule self (HAIJAKAMILIKA BADO)

Nikaja 2021
Nikaongeza chumba na sebule hazina self- ziko 2

Mwaka huu,
Nnaujenz wa mdg wa nyumba 3
-nyumba 2 nazijengea fensi kuzunguka,
na nyumba 1 nnazoezi la kuinua kuta ili ipande hewan, kufunga gypsum board na kuiwekea tiles ili niipangishe kwa Ela ya juu kdg.

Ujenz bado unaendelea.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unarefinance au zote cash?
 
Endeleeni kukatishana tamaa... Mtaani mama ntilie, muuza matunda, mwenye genge, machinga, fundi viatu hawa wote wanajenga nyumba nzuri tu... Mnaishia kuwaita wachawi freemason majambaz, wakat ukweli ni kwamba wakipata 10,000 basi 6,000 wanaitunza kwajili ya kununua matofali au cement...
Wengi mnasema kujenga ni kugumu kwasabab hamjui nini maana ya ramani, hamjui nini maana ya kiwanja, hamjui nini maana ya materials, hamjui kufanya utafiti wa bei za materials, bei za mafundi wazur wenye uzoefu, hamjui kukaa chini na kumpa masharti fundi (akiyashindwa aache kazi au atakosa malipo), fundi anekuambia zinahitajika cement mifuko 30 kazi ipo katikati anakuambia ongeza mifuko 20 unamchekea chekea tu lazima akuone fala akuchezee akili, kuna watu mnaokota raman hujui ina ukubwa gani [emoji23] hujui lolote unamwambia fundi wew jenga tu ilimradi nyumba ifanane na hii ramani, ktk mazingira haya lazima uone ujenz ni gharama...
Wewe kijana una biashara yako nzuri au una kazi nzuri ya uhakika miaka inazid kwenda upo umepanga chumba kimoja au chumba na sebule kazi yako kumlipa kodi mwanaume mwenzako are you stupid..? Bad enough ukute upo na Familia ktk nyumba ya kupanga... Kujenga ni jambo la kujitambua tu, haina haja kisa unajenga eti ushindwe kunywa bia kula vzuri au kununua nguo... Ni mpumbavu tu anayeweza kuogopa ujenzi mtakufa masikini ktk nyumba za watu...
unamaliza kalamu kutukana badala ya kutoa elimu
 
Unapojenga unatakiwa ujipange sawa sawa. La sivyo utajikuta unalala njaa.
 
Humu watu wanalalamika stress za kudaiwa na mafundi , how? Navojua mm na jinsi nilivojenga au kusimamia ujenzi kabla ya yote Hawa unatafita mtaalam au fundi mwenye ujuzi wa kufanya makadirio ya vifaa ndipo unaliganisha na bajeti yako.

Then unaanza ujenzi hatua kwa hatua kulingana na bajeti yako. Kama huna uwezo wa kufikia kwenye lenta basi ishia kwenye msingi. Kama huna uwezo wa kufikia kwenye kupaua basi ishia kwenye lenta nk nk. Sasa hapo ugomvi na fundi unatokea wapi? Sema tu kwenye ujenzi hususani hatua za awali kuna unexpected cost kibao ambapo unashauriwa ukipanga bajeti yako ongeza na 10 % ili kucover hizo cost

Usijenge kwa stress jenga huku unakenua tatizo tunajinganisha na watu wengine bila kuangalia uwezo wako halisi
 
Endeleeni kukatishana tamaa... Mtaani mama ntilie, muuza matunda, mwenye genge, machinga, fundi viatu hawa wote wanajenga nyumba nzuri tu... Mnaishia kuwaita wachawi freemason majambaz, wakat ukweli ni kwamba wakipata 10,000 basi 6,000 wanaitunza kwajili ya kununua matofali au cement...
Wengi mnasema kujenga ni kugumu kwasabab hamjui nini maana ya ramani, hamjui nini maana ya kiwanja, hamjui nini maana ya materials, hamjui kufanya utafiti wa bei za materials, bei za mafundi wazur wenye uzoefu, hamjui kukaa chini na kumpa masharti fundi (akiyashindwa aache kazi au atakosa malipo), fundi anekuambia zinahitajika cement mifuko 30 kazi ipo katikati anakuambia ongeza mifuko 20 unamchekea chekea tu lazima akuone fala akuchezee akili, kuna watu mnaokota raman hujui ina ukubwa gani 😂 hujui lolote unamwambia fundi wew jenga tu ilimradi nyumba ifanane na hii ramani, ktk mazingira haya lazima uone ujenz ni gharama...
Wewe kijana una biashara yako nzuri au una kazi nzuri ya uhakika miaka inazid kwenda upo umepanga chumba kimoja au chumba na sebule kazi yako kumlipa kodi mwanaume mwenzako are you stupid..? Bad enough ukute upo na Familia ktk nyumba ya kupanga... Kujenga ni jambo la kujitambua tu, haina haja kisa unajenga eti ushindwe kunywa bia kula vzuri au kununua nguo... Ni mpumbavu tu anayeweza kuogopa ujenzi mtakufa masikini ktk nyumba za watu...
Usitufokee.
 
let's say ujenzi wa nyumba mpaka kukamilika ni tofari elfu4, so piga hesabu 1block= 1000Tsh, so 4000blocks will be 4millions
emoji23.png
emoji23.png
asee gharama za bati hizi, lkn kama unge avoid kwa njia mkato utanunua tofar za kuchoma zile za 100/200Tsh per one, ambapo kama idadi 4000 basi itakuwa 100×4000 = 400,000Tsh
emoji23.png
emoji23.png
ela ndogo sana ambapo unaweza ongezea na zingine za fensi,
Kwahio unafikiri nyuma inayohitaji matofali ya block 4,000 itatumia matofali ya kuchoma 4,000? Hivi huwa yanakuwa size sawa?
 
Back
Top Bottom