Kama hujajipanga vizuri usichokoze ujenzi

Umenena mkuu
 
Sasa we si una unafuu wa kipato, kwa wale kipato hakipo stable lazima bati lipauke...ujenzi kwa wengi si lelemama[emoji848]
Hapana mkuu,
Wengi wanajenga dream house wkt kipato chao hakiruhusu, miaka 5-10 mtu anajenga TU nyumba haiishi.

Siku inakamilika tayar nyumba inakua imepitwa na wakati na bati zishapauka.

Hata ile ladha ya nyumba mpya inakua Hamna kabisa.
 
Mkuu unarefinance au zote cash?
Mkuu,
Nyumba Huwa nnajenga nnapokua na hela cash ya material za Kuanzia msingi mpk namaliza.

Nikiwa na mil 15 na kiwanja kipo,
nakua na uhakika wa kutoa chumba elfu na sebule Kuanzia msingi mpk finishing ya maana.

Hela ya fundi hainiumizi sn Kichwa maana hailipwi kwa wkt mmoja.

Na mafundi wangu Ni wale wale miaka nenda Rudi, wakifika site wanatia kambi. Napeleka unga,mchele,mafuta,maharage na Ela kdg ya viungo na kabadilisha mboga.

Wanaweza kujenga Bila kuchukua hata Mia mbovu,nikaja walipa ela yote nyumba ishakamilika kazi zote.

Nikimaliza naweka mpangaji,
Naaza kula Ela ya Kodi HARAKA .

Nikifulia naenda kuombea mkopo bank narudisha kwny mzunguko wangu,

Mambo yakigoma kabisa,
Nauza Moja kwa Moja nafanya ishu nyngn
 

Hao mafundi wa nchi gani wasiotaka hata mia?

Hawahawa wanaochukua advance kabla hata kazi haijaanza.

Una bahati basi

Naomba nisaidie na mimi jao mafundi wanisaidie mjengo wangu aisee.
 
Nadhan Ni tofal 4 za kuchoma kwa tofali Moja la block,hapo azidishe Mara 4[emoji4]
Hapana mkuu,siku hizi kuna tofari kubwa ya kuchoma inasimama peke yake japo ni inapungua kidogo kwa ukubwa wa block. Kwahiyo ukitumia hii inasave sana ambavyo kama ungetumia block.
 
Kwahio unafikiri nyuma inayohitaji matofali ya block 4,000 itatumia matofali ya kuchoma 4,000? Hivi huwa yanakuwa size sawa?
Mkuu. Yapo matofari makubwa pia ya kuchoma yanatumika sana huku mikoani hasa sehemu yenye udongo wa mfinyanzi. Yaani linasimama lenyewe 1 tu.
 
Mkuu. Yapo matofari makubwa pia ya kuchoma yanatumika sana huku mikoani hasa sehemu yenye udongo wa mfinyanzi. Yaani linasimama lenyewe 1 tu.
Okay nalo ni tzs 100/200? Mkoani mna Raha sana.
 
Okay nalo ni tzs 100/200? Mkoani mna Raha sana.
Ukinunua ni 200 to 250 mpaka site,ila ukiamua kuchoma mwenyewe tofari unapigiwa shs 70,kuni na watu wa kuchoma ni wewe mwenyewe unakuta linacost 150,so kuna unafuu fulani hivi ukichoma mwenyewe.
 
Poa nimekuelewa mkuu, upo vizuri.
 
Kaka wewe ni Don nikopeshe mtaji kidogo
 
Ila ni Vyema kujenga karibu. Ukijenga Mbali na City Center garama za usafiri zako, Pengine wife kama anafanya kazi na watoto wanaoenda Shule zinaweza fika laki 2 kwa mwezi😁na haya mafuta yanavyopanda kila kukicha ata kavitz unaweza kukipark
Inategemea. Kama unategemea kuretire soon, kuishi karibu na mijini ni kero. Bora kuwe na kaumbali na sehemu yenye nafasi hata kuweka kuku wako wawili watatu na kabustani ka mboga mboga. Kwenyda mjini mara mbili kwa mwezi
 
Gharama inaweza kuwa kubwa au ndogo kulingana na eneo ulipo, kwa Mwanza mfano, gharama ya mchanga, mawe, maji na matofali si ghali sana kama nilivyoona kwenye mchanganuo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…