vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Mbona kuna mwamba amesema katumia milioni 6 na laki 8 nyumba imara kama chuma nyie wengine hizo milioni 30 mnajenga kwa WhatsApp nini?
Nyumba Ndogo ndogoUjenzi nao ni addiction kwa baadhi ya watu, ila kujenga nyumba kila mwaka ni nyumba za aina gani hizo?
Mkuu vitu vya kingeretha ni hatari nilikuwa na ml 6 kwa kweli nimeparua sijamaliza
Wengi wamekushangaa kusema unajenga kila mwaka lakini its possible hasa rental units. Kuna twin two-bedroom units nilianza mwaka jana mwishoni i think, sasa hivi nafanya finishing.Nyumba Ndogo ndogo
Msihangaike na ujenzi mtakuja kuangukiwa na tofali halafu mfe bure[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Unaweza kufa na nyumba ukaacha hapo, otherwise jenga bila haraka, kwa awamu na taratibu uta enjoy
Ukifikia level vitu vya kingereza uwiiiiii ni stress juu ya stress hasa kama unafosi nyumba kuisha na budget yako ni ndogo
Hongereni watu mnaomiliki mabangalooooo
Hongereni mnaomiliki ghorofa
Kiswahili chake kipoPale vifaa na kazi inapobadilisha lugha kuhamia kwenye lugha ya wenzetu yaani Finishing, sjui plaster, tiles, furniture n.k
Kiswahili chake kipo
Finishing=nakshi
Plaster=lipu
Tiles=vigae
Furniture=samani
TUmia kiswahili upunguze gharama
Hiyo 30m inahusisha na plasta?Mkuu andaa hiyo hela, huyo jamaa sio muongo. Mimi binafsi nimetumia milioni 30 kuanzia msingi hadi kupaua. Hesabu zake ni halisia sana
Tatizo wengi wanajenga kwa kushindana,mimi juzi nimeenda site jirani zangu wako na speed ya hatari ,kama unaroho ndogo unachanganyikiwa lakini mimi wala sijali naenda taratibu tuKujenga sio kugumu hivyo kama kuna constant supply ya pesa...
Uzuro ni kwamba unaweza kujenga kwa hatua, pagala haliozi...
Asanteni,nilijua nimepigwa na msimamizi wangu lakini nimetumia garama hizo hizo tajwa ,sahivi hatua zingine nipo mwenye site kusimamia sitaki mtu katiMkuu andaa hiyo hela, huyo jamaa sio muongo. Mimi binafsi nimetumia milioni 30 kuanzia msingi hadi kupaua. Hesabu zake ni halisia sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii inaitwa ramliKiswahili chake kipo
Finishing=nakshi
Plaster=lipu
Tiles=vigae
Furniture=samani
TUmia kiswahili upunguze gharama
Yes...hasa kuanzia nyumba room 3 ... Na ni nyumba ya block mpaka plaster, nje ya hapo ni stori za vijiweniHuu uzi kama nimeuelewa vizuri ni kwamba kwa nyumba tajwa gharama za kupandisha ukuta hadi kupaua TU ndio ~30M, sio??
Hongera umepambana sana, kama kupigwa ni kidogo sana, maana sio muda wote unakaa na mafundiAsanteni,nilijua nimepigwa na msimamizi wangu lakini nimetumia garama hizo hizo tajwa ,sahivi hatua zingine nipo mwenye site kusimamia sitaki mtu kati