Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

CHAI
 
Namba 3 iyo shule inaitwa hegongo hollycross ipo mpaka leo
 
Ile hostel sijui nani alishauri ikae city center kabisa. Si Wagalanos tulikuwa tunakimbia mchakamchaka na tunapita hapo kuwatukana tu kwa ajili ya kumunua ugomvi mkawa mnatuogopa. Ila kimsingi tulikuwa tunawaonea wivu.
 
Zipo nyingi tu za namna hiyo Tanga.
 
Tanga nimesoma usagara pale wale wanangu wa chichi pale club lakassa tume enjoy sana.....enzi hizo boys wa galanos wanatuonea gere watoto wetu wao wapo maporini.

Likizo napanda zangu Ratco. Kweli Tanga raha....
Hahaaaaaaa ni kweli tulikuwa tunawaonea wivu ndio maana siku ya Jumamosi tukikimbia mchakamchaka tunaambiana toka Galanos tupite pale Hostel yenu City Centre tuwatukane tu.

Tukitoka hapo tunapita mitaa ya Coastal Sekondari, tunawatukana. Tutanyoosha jadi Popatlal Sekondari tutatukana. Tutazunguka pale Ecknford napo tutaimba na kutukana then tunarudi zetu Galanos. Maisha yale yalikuwa mazuri sana.
 
Nani kasema tulikuwa tunawaonea wivu,watu mnalala barabarani pale hostel[emoji3]
Hahaaaa tulikuwa na wivu mkuu. Mi nimesoma Galanos A Level. Tulikuwa tukizinguliwa na St.Christina hasira zetu tunaenda malizia kwao. Tulikuwa tunaambiana kabisa tupite pale wakati wa mchakamchaka tukawatukane tu hasira zipoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…