Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

Kwanini liaanike mkuu?? Umefanya tafiti au Ni hisia zako tu??
Jiji halieleweki, mtu ukijituma kufanya kazi na kujiletea maendeleo wenzako wanakuroga eti unajifanya mzungu, yaani wanataka mfanane tu. Wazee wa lile jiji wanaona ufahari watoto wao wakienda madrasa kuliko shule, sasa unajiuliza, hivi elimu na mila ya Kiarab inamsaidia mtoto wa Kitanzania katika maisha yake? Sisi watanzania tuna mila na desturi zetu jamani.
 
Upuuuzi tu wanjifanya kingdom of doom 🤧 hawana ubavu
 
Hahahahah USS member.
 
Kajiji ka Kisiasa 😁😁
 

Kwahiyo Madrasa wanafundishwa Mila za Kiarab?
'Sunday school' basi itakuwa ni Mila za Kibantu, cheka na ufurahi wewe basi.
 
Maeeneo ya starehe hamjasema kwa warembo
 
Nimemkumbuka mpenz wangu Zays ulipotaja Tanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…