Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

"24. Wikiendi lodge zinajaa sana na ukiwa mgeni umefika mida ya usiku sana unaweza kulala stendi"

Hapo juu nimeondoka na point kuna siku nilitaka nipande basi Arusha nifike huko nightmare nikiamini nisingekosa sehemu ya kulala kumbe nilikua najidanganya
 
Mpaka leo najiulizaga kwa nini sikuoa Tanga
Mm kabla ya kuoa kuna mshikaji wangu alinishauri,aliniambia hivi "jamaa yangu wanawake wa Tanga ni wazuri na mapenzi wanayajua ila sio wa kuoa kama una malengo ya kuwa mtu mwenye status yako kiuchumi/ kimaendeleo,sababu alizonipa ni kwamba wanawake wao ni watu wa kuridhika na kidogo hawawazi maendeleo

Na kweli katika kufuchunguzachunguza nimegundua wanawake wao ni wakala nao starehe tuu,pls mniwie radhi kwa mawazo yangu🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…