Kama hujawahi kukutana na usumbufu, dharau na jeuri za watumishi wa serikali, utaendelea kutoona anachofanya Makonda

Kama hujawahi kukutana na usumbufu, dharau na jeuri za watumishi wa serikali, utaendelea kutoona anachofanya Makonda

Duh! Yaani mtu kafa na bado anamtaja Makonda! Kweli Makonda ni balaaaa!!!
Wakati Lissu anataka kuuwawa na wasiojulikana waliokuwa wakiongozwa na Makonda je?!

Lissu amesema hadharani kuwa nyuma ya jaribio la kuuwawa kwake pale Dodoma liliongozwa na Bashite.
 
Kwahiyo unashaurije!?,akae ofisini ale mshahara kama wengine!?,si bora hata hao raia wachache watakaopata msaada wake!?,hivi huwa mna roho mbaya hamtaki watu wasaidiwe?,au mnahisi anapata umaarufu sana!?,aliyewateua yupo bize anganini leo au kesho anaelekea South Korea, ndani ya mwezi mmoja kashaenda nchi zaidi ya 3. Unashaurije???
Kinachofanyika hapa ni usanii... watu waje na suluhisho za matatizo za ukweli.

Ngoja nikupe mfano... kuna idea ilikuwa floated ya serikali kuanzisha "Inconvinience fee", kila huduma ya serikali iwe na ukomo wa muda; baada ya huo kuisha, na huduma haijapatikana, taasisi itakatwa pesa na mlipaji kurudishiwa.

Mtu umelipia huduma ya maji 100,000/- kila wiki inayochelewa, unarudishiwa 10,000/-. Taasisi za serikali zote zitapata adabu. Baada ya hapo, taasisi inayopoteza pesa nyingi, inaingia kwenye matatizo automatically. Lazima utengeneze accountability kwenye mfumo, sio viongozi kuzurula tu.
 
Pia Kama hujawahi kukutana na usumbufu dharau na jeuri za wananchi huwezi kujua ugumu wanaopitia Watumishi wa Umma katika majukumu yao.
Kama wanaona wananchi wanawasumbua waachie ngazi kwani nani aliwalazimisha kuwa watumishi wa umma?
Nimewahi kwenda mahakamani nikamkuta karani wa mahakama nikahitaji ufafanuzi mdogo tu kanieleza hovyohovyo tu nilipomtaka aelekeze vizuri akaniambia "una kichwa kigumu". Nikamkemea akaanza kutetemeka na kuniomba msamaha!!
 
Sasa angalia ni jinsi gani una kiburi unamkemea msaidizi wa hakimu hadi anatetemeka.🤣
 
Kinachofanyika hapa ni usanii... watu waje na suluhisho za matatizo za ukweli.

Ngoja nikupe mfano... kuna idea ilikuwa floated ya serikali kuanzisha "Inconvinience fee", kila huduma ya serikali iwe na ukomo wa muda; baada ya huo kuisha, na huduma haijapatikana, taasisi itakatwa pesa na mlipaji kurudishiwa.

Mtu umelipia huduma ya maji 100,000/- kila wiki inayochelewa, unarudishiwa 10,000/-. Taasisi za serikali zote zitapata adabu. Baada ya hapo, taasisi inayopoteza pesa nyingi, inaingia kwenye matatizo automatically. Lazima utengeneze accountability kwenye mfumo, sio viongozi kuzurula tu.
Ujue kuelewa majukumu ya viongozi kila jambo lina uongozi husika unaweza kuwa sahihi kwenye wazi lako lakini mambo mengine ni yanahusu mamlaka zingine kabisa lkn kabla hizo mamlaka kufanya hayo maamuzi maisha lazima yaendelee
 
Ukweli ni kwamba yawezekana makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi, utazungushwa na kusumbuliwa kwa vitu vidogo sana, unapoteza muda, gharama ya fedha na gharama zingine nyingi.

Kusema kweli kuna wakati mjane mmoja alikuwa anafuatilia mirathi ya mme wake yaani amekamilisha kila kielelezo kinachotakiwa lakini ilimchukua miaka 3 kupata hiyo hela huku akienda maofisini kila wiki.

Kuna wakati unawaza kama bunduki zingekuwa zinauzwa kiholela basi wengi wa watumishi wa umma wangesha kula chuma.

Yawezekana approach ya makonda sio nzuri kama ndivyo lakini naomba tunapomkosoa tuje na majawabu ya kuondoa hizi dharau za watumishi wa umma kwa watu ambao kimsingi ndio mabosi wao.
Watanzania sijui vichwa vyetu vipi. Kwani kuna mtu anayekataa kuwa watumiashi wa umma mara nyingi wana jeuri na ni wavivu? Kusema kuwa kama hutujakutana na dharau na jeuri yao hatuwezi kuona anachofanya Makonda ni kama kututukana kwa sababu nina uhakika karibu kila mtanzania mtu mzima, amewahi kutafuta huduma kwenye ofisi za umma, na wengi tulikutana na kero.

Tunachopinga ni kuwa Makonda hatatui hilo tatizo hata kidogo bali inazidi kuliongeza. Makonda anafanya usanii ili kuchata akili za watu wenye upeo mdogo waone kama serikali inawajali kumbe ni kinyume chake. Nia yake ni kupata umaarufu na hajali shida zetu. Sikiliza.

Muda wote aliokuwa mkuu wa mkoa wa Dar, ukiambiwa uonyeshe alifanya nini una cha kuonyesha? Kero kwenye ofisi za umma ziliisha Dar? Sana sana anatembea na msafara ambao unaongeza gharama za walipa kodi na kusimamisha kazi maofisini bila matokeo chanya.
 
Kinachotokea dar ni kwamba hao so called watumishi the have upper hand, connection.
So makonda was just inzi kwenye supu.

But the jpm akja na mtindo wake wa bandika bandua ya mabosi. Huku chini wakapoteza networks, ile sense ya kutokujua kesho yao ilirudisha adabu.
Lakini baada ya kipindi hiko kupita mambonyakarudi pale pale
Kumbe baada ya muda mambo hurudi pale pale? Kwa nini tusiache huu usanii wa kukaripia watu kwenye TV na tukajenga mifumo yenye kuwafanya watu wawajibike? Tena sasa hivi teknolojia ilivyosonga mbele mbona mambo ni rahisi sana? Serikali inataka uongozi wa Makonda style kwa sababu wanajua ndiyo njia nzuri ya kuhadaa wananchi.
 
Watanzania sijui vichwa vyetu vipi. Kwani kuna mtu anayekataa kuwa watumiashi wa umma mara nyingi wana jeuri na ni wavivu? Kusema kuwa kama hutujakutana na dharau na jeuri yao hatuwezi kuona anachofanya Makonda ni kama kututukana kwa sababu nina uhakika karibu kila mtanzania mtu mzima, amewahi kutafuta huduma kwenye ofisi za umma, na wengi tulikutana na kero. Tunachopinga ni kuwa Makonda hatatui hilo tatizo hata kidogo bali inazidi kuliongeza. Makonda anafanya usanii ili kuchata akili za watu wenye upeo mdogo waone kama serikali inawajali kumbe ni kinyume chake. Nia yake ni kupata umaarufu na hajali shida zetu. Sikiliza. Muda wote aliokuwa mkuu wa mkoa wa Dar, ukiambiwa uonyeshe alifanya nini una cha kuonyesha? Kero kwenye ofisi za umma ziliisha Dar? Sana sana anatembea na msafara ambao unaongeza gharama za walipa kodi na kusimamisha kazi maofisini bila matokeo chanya.
Inavyoonekana wewe ni mnufaika wa upuuzi wa watumishi wa umma unatumumia kipimo gani kwamba hakuna tatizo lilitatuliwa? Maana nina uhakika hata hapa jf hatuwezi kukosa mashuhuda wa mambo yaliyokuwa sugu lakini yalimalizwa na makonda.
 
Watanzania sijui vichwa vyetu vipi. Kwani kuna mtu anayekataa kuwa watumiashi wa umma mara nyingi wana jeuri na ni wavivu? Kusema kuwa kama hutujakutana na dharau na jeuri yao hatuwezi kuona anachofanya Makonda ni kama kututukana kwa sababu nina uhakika karibu kila mtanzania mtu mzima, amewahi kutafuta huduma kwenye ofisi za umma, nya.
Na pia unaposema hakufanya lolote unajaribu kumlinganisha na nani kwa kipimo kip?
Maana hata amos Makalla alikuja na swaga za kumponda makonda kwamba yeye kaja na kusikiliza na kutatua kero kisayansi yuko anatatulia wapi hizo kero
 
Simlinganishi na mtu yoyote. Kwani kujua mtu kafanya kazi ni mpaka ufanye mlinganisho?
 
Inavyoonekana wewe ni mnufaika wa upuuzi wa watumishi wa umma unatumumia kipimo gani kwamba hakuna tatizo lilitatuliwa? Maana nina uhakika hata hapa jf hatuwezi kukosa mashuhuda wa mambo yaliyokuwa sugu lakini yalimalizwa na makonda.
Mimi sinufaiki kwa lolote na tena nachukia watumishi wa umma walivyo wazembe na wavivu kuliko mtu yeyote. Leta hao mashuhuda wako waseme mambo yaliyokuwa sugu halafu akayatatua kwa sababu hata wewe inaonekana huyajui!
 
Ukweli ni kwamba yawezekana makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi, utazungushwa na kusumbuliwa kwa vitu vidogo sana, unapoteza muda, gharama ya fedha na gharama zingine nyingi.

Kusema kweli kuna wakati mjane mmoja alikuwa anafuatilia mirathi ya mme wake yaani amekamilisha kila kielelezo kinachotakiwa lakini ilimchukua miaka 3 kupata hiyo hela huku akienda maofisini kila wiki.

Kuna wakati unawaza kama bunduki zingekuwa zinauzwa kiholela basi wengi wa watumishi wa umma wangesha kula chuma.

Yawezekana approach ya makonda sio nzuri kama ndivyo lakini naomba tunapomkosoa tuje na majawabu ya kuondoa hizi dharau za watumishi wa umma kwa watu ambao kimsingi ndio mabosi wao.
Hakika
 
Na wale waliopotezwa na kuuwawa na wengine kupigwa risasi na wanamtaja Makonda?!

Na yule aliemtolea Bastola Waziri fulani na kutaka kumuua?!
Wangekutaja wewe je!? Kwahiyo kutajwa tu bila uthibitisho ndo mshono wako unakuwasha?
 
Kinachofanyika hapa ni usanii... watu waje na suluhisho za matatizo za ukweli.

Ngoja nikupe mfano... kuna idea ilikuwa floated ya serikali kuanzisha "Inconvinience fee", kila huduma ya serikali iwe na ukomo wa muda; baada ya huo kuisha, na huduma haijapatikana, taasisi itakatwa pesa na mlipaji kurudishiwa.

Mtu umelipia huduma ya maji 100,000/- kila wiki inayochelewa, unarudishiwa 10,000/-. Taasisi za serikali zote zitapata adabu. Baada ya hapo, taasisi inayopoteza pesa nyingi, inaingia kwenye matatizo automatically. Lazima utengeneze accountability kwenye mfumo, sio viongozi kuzurula tu.
Sijakupinga, unadhani huo mfumo utafanya kazi Africa achilia mbali Tanzania!?,kama mtu ametumikia Taifa tena polisi au jeshini, ikifika wakati wa kulipwa mafao anazungushwa unadhani hizo za kudai taasisi ndo zitafanikiwa!?, mtanzania gani wa ofisi ipi atakusainia hiyo cheki bila kuzungushwa!?
 
Wamama wa Masai Market waliokuwa wameporwa ardhi yao na Katibu wao.Imerudi kwa wenyewe. Mzee Massawe aliyenunua ardhi milioni 26 na aliyemuuzia kiwanja kuuza kiwanja hicho hicho kwa kampuni binafsi.Mzee Massawe amerudishiwa kiwanja chake.

Mtoto aliyebakwa na Polisi kumzungusha mama wa mtoto kwa nia ya kuwalinda watuhumiwa.Wahusika wote wamekamatwa.Mtandao wa Halmashauri ya Jiji wa kula pesa umegundulika na wahusika kusimamishwa kazi.Longido pesa za afya milioni 600 wahusika wapo Polisi.Mtandao wa mashine feki Karatu wahusika wamekamatwa.Hayo ni machache ya mengi yaliyofanyika chini ya uongozi wa Makonda.
 
Pia Kama hujawahi kukutana na usumbufu dharau na jeuri za wananchi huwezi kujua ugumu wanaopitia Watumishi wa Umma katika majukumu yao.
Ndio maana wanakufa vifo vibaya, wewe una nyanga'nya watu ardhi yao, ilihali ana documents zote, huu upumbavu na uendawazimu. Na wataendelea kufa vifo vibaya mazulumati hao.
 
Back
Top Bottom