imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wakati Lissu anataka kuuwawa na wasiojulikana waliokuwa wakiongozwa na Makonda je?!Duh! Yaani mtu kafa na bado anamtaja Makonda! Kweli Makonda ni balaaaa!!!
Lissu amesema hadharani kuwa nyuma ya jaribio la kuuwawa kwake pale Dodoma liliongozwa na Bashite.