DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Ni wivu tu
Wengine wanachuki na uhasidi, hawajui kuna maisha nje ya kazi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wivu tu
Hapa👇👇👇 ndipo penye KERO KUBWA:Ukweli ni kwamba yawezekana makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za

Wengi wao wako hivyo 🙄Mkuu achana na huyo chizi amejaza story za vijiweni za wanasiasa. Nilichogundua asilimia kubwa ya watanzania hawatumii ubongo wao kufikiri na kutatua jambo, wanafuata mkumbo tu.
Hapa👇👇👇 ndipo penye KERO KUBWA:
Quote" ......Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi, za hatma ya ulichofuata ikoje? Unakuwa Huna jibu lililonyooka.
Wacha Konda awakikimishe tuu.![]()
Wazo zuri lakini thubutu watanzania ni wezi kuanzia viongozi hadi wananchi.Kinachofanyika hapa ni usanii... watu waje na suluhisho za matatizo za ukweli.
Ngoja nikupe mfano... kuna idea ilikuwa floated ya serikali kuanzisha "Inconvinience fee", kila huduma ya serikali iwe na ukomo wa muda; baada ya huo kuisha, na huduma haijapatikana, taasisi itakatwa pesa na mlipaji kurudishiwa.
Mtu umelipia huduma ya maji 100,000/- kila wiki inayochelewa, unarudishiwa 10,000/-. Taasisi za serikali zote zitapata adabu. Baada ya hapo, taasisi inayopoteza pesa nyingi, inaingia kwenye matatizo automatically. Lazima utengeneze accountability kwenye mfumo, sio viongozi kuzurula tu.
Alipovamia nani alijeruiwa,aliuwawa au kunyang'anywa mali yake?,tumia akili unalishwa maneno unashibaUshahidi wa kuvamia Studio na usiku na Mabunduki mbona upo?!
Unataka aache alama gan wkt mnakumbuka mabaya yake na kuyapuuza mazuri yake au unahisi alama inabakia yenyewe bila watu kukubali kufuata alichokiacha ?Kwahiyo unaamini kuzodolewa hadharani ndio suluhisho la usumbufu na dharau za watumishi? Alikuwepo Dar na alizodoa sana watumishi, nini kimebadilika? Leo hii ukiulizwa, Makonda kaacha alama gani hapa Dar, utataja ipi?
Pole pole tutafika tu huko. Maana kwa kweli usumbufu uliopo kwenye maofisi ya umma unatia kichefuchefu.Kuna wakati unawaza kama bunduki zingekuwa zinauzwa kiholela basi wengi wa watumishi wa umma wangesha kula chuma.
Kama mna ushahidi si bora mpeleke mahakamani sio kutuimbia mitandaoniNa wale waliopotezwa na kuuwawa na wengine kupigwa risasi na wanamtaja Makonda?!
Na yule aliemtolea Bastola Waziri fulani na kutaka kumuua?!
Kwa hiyo suluhisho la hili tatizo la watumishi kuwa usumbufu na dharau ni nini? Tupe majibu wewe si hutaki wasizodolewe tupe suluhisho mbadalaKwahiyo unaamini kuzodolewa hadharani ndio suluhisho la usumbufu na dharau za watumishi? Alikuwepo Dar na alizodoa sana watumishi, nini kimebadilika? Leo hii ukiulizwa, Makonda kaacha alama gani hapa Dar, utataja ipi?
Vipi mbona una hasira hivi na mwanaume mwenzio? ama uliolewa ukaachika?Bashite Jambazi Mkuu wa wasiojulikana asituzuge kujifanya msafi ati anatujali.
YaaniUkweli ni kwamba yawezekana Makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi, utazungushwa na kusumbuliwa kwa vitu vidogo sana, unapoteza muda, gharama ya fedha na gharama zingine nyingi.
Kusema kweli kuna wakati mjane mmoja alikuwa anafuatilia mirathi ya mme wake yaani amekamilisha kila kielelezo kinachotakiwa lakini ilimchukua miaka 3 kupata hiyo hela huku akienda maofisini kila wiki.
Kuna wakati unawaza kama bunduki zingekuwa zinauzwa kiholela basi wengi wa watumishi wa umma wangesha kula chuma.
Yawezekana approach ya Makonda sio nzuri kama ndivyo lakini naomba tunapomkosoa tuje na majawabu ya kuondoa hizi dharau za watumishi wa umma kwa watu ambao kimsingi ndio mabosi wao.
Kuna clip huyo jamaa yenu alikua Arumeru akiwabagaza watumishi juzi ndo utajua kua jamaa ni hamnazo na kweli alipata zero form four.Somola uraia kidato cha pili khs mamlaka za miji midogo ni sheria iliyotungwa na serikali chini ya wizara ya OR TAMISEMI,lkn yeye anawadhalilisha watumishi wkt sheria ipo inayotambua mamlaka hayo,sema nini,yeye ni public attention seeker km alivyokua JPM.Anayo nafasi ya kuishauri serikali ikaifuta sheria ile ila ukiiangalia clip ile yule mwanasheria wa halmashauri alikua very smart kumjibu yeye alikua anatafuta kiki mbele ya wananchi.Makonda kimsingi hafai kwenye uongozi wa umma alifaa zaidi kule kwenye propaganda kwasababu ana uelewa mdogo sana wa mamboUkweli ni kwamba yawezekana Makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi, utazungushwa na kusumbuliwa kwa vitu vidogo sana, unapoteza muda, gharama ya fedha na gharama zingine nyingi.
Kusema kweli kuna wakati mjane mmoja alikuwa anafuatilia mirathi ya mme wake yaani amekamilisha kila kielelezo kinachotakiwa ladato cha nnkini ilimchukua miaka 3 kupata hiyo hela huku akienda maofisini kila wiki.
Kuna wakati unawaza kama bunduki zingekuwa zinauzwa kiholela basi wengi wa watumishi wa umma wangesha kula chuma.
Yawezekana approach ya Makonda sio nzuri kama ndivyo lakini naomba tunapomkosoa tuje na majawabu ya kuondoa hizi dharau za watumishi wa umma kwa watu ambao kimsingi ndio mabosi wao.
Angekuwa mwanao usingesema watu wawili au watatu, ni lazima tujifunze kuheshimu utu wa mtu.Ndo maana tunasemaga wazi hamna akili nyie wafuasi wa Mbowe, ndo nyie kila thread mnaleta story za Ben Saanane, Yani watu wawili au watatu wanaohisiwa kuhusishwa kupotea kwao na Makonda ndo kufanye mtu asione changamoto za mkoa mzima anazozitatua Makonda!?!?,umewahi kuzungushwa ofisi za serikalini??,umeelewa hata kilichoelezewa!?,siku ukizungushwa maofisini au ukadhurumiwa haki yako na mahakama ndo siku utaondoa kichwani hizo story za Ben Saa8.
Mkuu naunga mkono hoja yako, ndio maana tunamuasa Makonda ajitahidi kuweka mfumo mzuri wa usimamizi wa kitaasisi ndani ya mkoa wake kwa kushirikisha taasisi na viongozi mwenzake kama timu moja kudhibiti changamoto zilizopo kuliko anavyojiendea mwenyewe kuzodoa na kudhalilisha kila mtumishi wa serikali.Ukweli ni kwamba yawezekana Makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi, utazungushwa na kusumbuliwa kwa vitu vidogo sana, unapoteza muda, gharama ya fedha na gharama zingine nyingi.
Kusema kweli kuna wakati mjane mmoja alikuwa anafuatilia mirathi ya mme wake yaani amekamilisha kila kielelezo kinachotakiwa lakini ilimchukua miaka 3 kupata hiyo hela huku akienda maofisini kila wiki.
Kuna wakati unawaza kama bunduki zingekuwa zinauzwa kiholela basi wengi wa watumishi wa umma wangesha kula chuma.
Yawezekana approach ya Makonda sio nzuri kama ndivyo lakini naomba tunapomkosoa tuje na majawabu ya kuondoa hizi dharau za watumishi wa umma kwa watu ambao kimsingi ndio mabosi wao.
Mkuu tuweke mambo ya siasa kando uhai wa mtu mmoja ni muhimu mno.Ndo maana tunasemaga wazi hamna akili nyie wafuasi wa Mbowe, ndo nyie kila thread mnaleta story za Ben Saanane, Yani watu wawili au watatu wanaohisiwa kuhusishwa kupotea kwao na Makonda ndo kufanye mtu asione changamoto za mkoa mzima anazozitatua Makonda!?!?,umewahi kuzungushwa ofisi za serikalini??,umeelewa hata kilichoelezewa!?,siku ukizungushwa maofisini au ukadhurumiwa haki yako na mahakama ndo siku utaondoa kichwani hizo story za Ben Saa8.
Mkuu naye Makonda, Kama anaona watumishi wenzake ni kero awapeleke mahakamani kuliko kupayuka na kudhalilisha watu hadharani. Sheria ni msumeno.Tuongelee current situation kama hizo allegations zina ushahidi apelekwe mahakamani ili haki itendeke japo hilo haliondoi kwamba watumishi wengi wa umma ni kero isiyovumilika
✍️📝👌👍👏🤝🙏🛡️Mkuu achana na huyo chizi amejaza story za vijiweni za wanasiasa. Nilichogundua asilimia kubwa ya watanzania hawatumii ubongo wao kufikiri na kutatua jambo, wanafuata mkumbo tu.
Wewe uliyeona mazuri tusaidie sisi tusiyaona. Tupe hizo alama ambazo ameachaUnataka aache alama gan wkt mnakumbuka mabaya yake na kuyapuuza mazuri yake au unahisi alama inabakia yenyewe bila watu kukubali kufuata alichokiacha ?
🤣 🤣 🤣Inavyoonekana wewe ni mnufaika wa upuuzi wa watumishi wa umma unatumumia kipimo gani kwamba hakuna tatizo lilitatuliwa? Maana nina uhakika hata hapa jf hatuwezi kukosa mashuhuda wa mambo yaliyokuwa sugu lakini yalimalizwa na makonda.