Hahahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babu
😅😅😅Mi naona jamaa hela hana huyu😂
vp umetoboa kwel shagazi🏌️♂️🙄Hahaha
Leta pesa hiyo.Nawasilisha kama kichwa kinavyosema. Hilo neno ndio identity ya JF kama hujawahi kulitaja iwe topic au kwenye comment yeyote nakupa million sasa hivi.
Yataje maneno mengine hapa ambayo ni identity.
Upewe hela yako hatutaki utaniNipe mimi sijawahi litumia.
hahahahahhaLeta milioni hiyo mkuu
Nilikua nachangamsha genge tu mkuu....binafsi JF imeniathiri sana na maneno yake nayatumiaga kwenye platforms nyingi tu nje ya JF.Uwahi mara ngapiView attachment 1627592
Me sijawah mkuuNawasilisha kama kichwa kinavyosema. Hilo neno ndio identity ya JF kama hujawahi kulitaja iwe topic au kwenye comment yeyote nakupa million sasa hivi.
Yataje maneno mengine hapa ambayo ni identity.