Kama hujawahi kutaja neno "mkuu" hapa JF njoo uchukue million

Kama hujawahi kutaja neno "mkuu" hapa JF njoo uchukue million

Mi sijawahi mkuu!😀
.
IMG_20201116_130142.jpeg
 
Nawasilisha kama kichwa kinavyosema. Hilo neno ndio identity ya JF kama hujawahi kulitaja iwe topic au kwenye comment yeyote nakupa million sasa hivi.

Yataje maneno mengine hapa ambayo ni identity.
Me sijawah mkuu
 
Back
Top Bottom