Mii ata salam sijui Agynasa tufanye mkutano leo mahala fulani pm kama hutojali.Wanaboa sana hawa watu, yaani cjui wakoje, sasa hv nimemblock mtu, jifunzeni kujieleza bhana, ukisema usimjibu unyamaze atakusalimia hata miaka 2 hachoki halafu kila siku
Mpendwa wangu jamani upo wewe la azizi[emoji8]Teh teh teh teeeh!!!
acha ujeuri utatukosa wanaume tupo wachache sikuhizi hesabu yake kwa tochiAsante kwa kuniwakilisha besty..yani izo salam ad zmenifanya nmekua mjeuri ckuiz
Mbona umepanic blaza!? Hahaha poyeeee...acha ujeuri utatukosa wanaume tupo wachache sikuhizi hesabu yake kwa tochi
Zangu hazikutoshi?Sasa hebu nichaguliepo kajina ka kiingereza then nikagoogle wanyarwanda.
Sio mimi kweli mana nataabika na weweeeMi kuna mtu nilimuambia aunganishe sms hizo za maswali nijibu kwa pamoja
Basi mii sina bahati mana kijibiwa tu nauliza tigopesaNilichoka ujuee,saa ingine unadhani sms ya MPESA kumbee unauliza uko poa,upo shwari,za weekend vipi ,upo wapi,unafnya nini khaaaaa
Siku hizi wanaume ndo tunatongozwa maana ni adimu ile ya kutongoza ishapitwa na wakatiMbona umepanic blaza!? Hahaha poyeeee...
Ha ha ha ha ha wanaume wanaotongozwa ni wale wa ku slopuuSiku hizi wanaume ndo tunatongozwa maana ni adimu ile ya kutongoza ishapitwa na wakati
Sirudii tena [emoji5]Nachukia sana neno "NIAMBIE " Au "nipe story, habari "
Mtu unitext mwenyew, sijaku bip bado unataka nikupe story Mimi nazitoa wapi, hizo habari wanazolazimishwa kupewa ni zipi?
Wenye hizi tabia mnaboa.
Basi hujajua ukitaka utongozwe we fungua banda la chipsi au uwe na piki piki boxer watajileta tu wenyeweHa ha ha ha ha wanaume wanaotongozwa ni wale wa ku slopuu
Kuna kitu kinaitwa "CLASS" mkuu..Basi hujajua ukitaka utongozwe we fungua banda la chipsi au uwe na piki piki boxer watajileta tu wenyewe
Mii ata salam sijui Agynasa tufanye mkutano leo mahala fulani pm kama hutojali.
Mpendwa wangu jamani upo wewe la azizi[emoji8]
Sio mimi kweli mana nataabika na weweee
Aiseeee!! Bora nilikimbiaSirudii tena [emoji5]
Ikiwezekana ya wiki nzima.Akuambie mapaka alivoamka teh teh
Aiseeee!! Bora nilikimbia
Ikiwezekana ya wiki nzima.
Haujambo lakini?
Sharp objects husambaza ukimwi... me tusiwe sharp[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanaume hutakiwi uwe mzembe, unatakiwa uwe sharp
Tuheshimiane tafadhal....acha kutudhalilisha wanaume wenzio..[emoji23][emoji23]HII NI CHATING INBOX
Mkaka: hi!
Mdada: helow!
Mkaka: Mambo!?
Mdada: Poa.
Mkaka: Inakuwaje
Mdada: Fresh tu
Mkaka: Shwari kabisa?
Mdada: Shwari tu..
Mkaka: Mishe zinakwenda poa!
Mdada: Poa tu
Mkaka: Mambo mengine?
Mdada: Poa tu
Mkaka:ehe Nambie sasa...
Mdada: Poaz
Mkaka: hata mi nko poa vp michongo?
Mdada: Poa tu
Mkaka: Pande zipi mrembo....
Mdada: Nipo home
Mkaka: Pande zipi hizo mi nipo Mwanza
Mdada: Dar
Mkaka: kwema pande hizo
Mdada: kwema tu
Mkaka: Maisha yanasemaje?
Mdada: Poa tu
Mkaka: Familia iko poa Mdada: Poa tu
Mkaka: SAMAHANI HIVI UNAISHI NA
WAZAZI AMA UMEOLEWA? Na kama umeolewa je
unaionaje ndoa?
Mdada: kimya..
Baada ya dakika mbili mdada akamblock yule
mkaka......
**Wakati mwingine tunawalaumu bure akina dada
eti wanadharau huko Inbox. Sasa jamani kweli huyu
mtu huyu!! Unamsaidiaje hata kama ni wewe...Yaani
salamu imerudiwa weee mpaka kero halafu
mwishowe anauliza swali la ghafla tu ka mpu.mbavu
vile!!!