Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Santeeeee [emoji122][emoji122]
 
wnegine wanasemaga K, P yaani ni balaa!! ulichoandika ni sahihi kabisa!! ila sishauri umwombee njaa binadam mwenzako
 
halafu mengi yako hivyo mambo mengiine kibao utafikiri mishe zako anazijua
Sasa jamani tumewasubiri muje tunaona kimya, inabidi tuwafate sisi huko pm, na muyavumilie tu maswali yetu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
huyo jamaa kusoma hajui sawa, hata picha tu kama huyu ni mbuzi au twiga?
Yaan9 majibu yoote hayo ya mkato na bado akaendelea tu
Jamaa alifundishwa formula ya ''Mvumilivu hula mbivu''
 
yana nitokea sana tu ila kidume na kaza sielewi yan wala sitaki kujua ila ipo siku atanikumbuka
Siku nyingine jaribu kuanza kumuuliza namba yake ya Mpesa,
 
Dah, basi masikini ndio hawastahili kupendwa?
 
Ye alikosea pale mwanzoni angechomekea, naomba nkutumie hela ya lunch ka hutojali
 
Umegusa pale pale,ndio maana Mheshimiwa Lowassa alisisitiza elimu,elimu,elimu na majitu yamekazania kilimo,kilimo,kilimo,majipu,majipu,majipi haya ndio matokeo yake.
 
Yani mimi mtu akinijibu "p" au "pw" nafuta PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…