Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhah iyo iyo P uyo atakua alikutana na mwanafunzi hivi mm naanzaje kujibu ivyo
Santeeeee [emoji122][emoji122]Tatzo hamna hela. Mi nilishawaambia vijana humu...hawataki kuelewa. Mwanamke hatongozwi jamani, mwanamke anavutwa. Ana vutwa na nn ?? (Jibu unalo) Tehe [emoji23][emoji23]
Kuku mtege na punje za mahindi akinasa tu, unamchinja. [emoji23][emoji23]
Ww muache ajishaue....na wewe ringia hela zako cz u can get any woman, any time, anywhere. Gademit !!!
wnegine wanasemaga K, P yaani ni balaa!! ulichoandika ni sahihi kabisa!! ila sishauri umwombee njaa binadam mwenzakoAngalia tofauti ya majibu haya:
Mkaka: Mamboz
Mdada: P
HII NI DALILI MBAYA KWAKO MKAKA
Mkaka: Mamboz
Mdada: Pouwa, mzima wewe?
EHEEE HII NI DALILI SWAFIII KABISAA.
Haijalishi hata kama huko mbeleni utajibiwa no chance, ila hutapanic. Ila hawa wa P hawa, ni kuwaombea njaa tu.
Niko poa sana, nimeanzisha salam ili nikija pm mengine yaendeleemzima hofu kwako
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Angalia tofauti ya majibu haya:
Mkaka: Mamboz
Mdada: P
HII NI DALILI MBAYA KWAKO MKAKA
Mkaka: Mamboz
Mdada: Pouwa, mzima wewe?
EHEEE HII NI DALILI SWAFIII KABISAA.
Haijalishi hata kama huko mbeleni utajibiwa no chance, ila hutapanic. Ila hawa wa P hawa, ni kuwaombea njaa tu.
Dah, basi masikini ndio hawastahili kupendwa?Tatzo hamna hela. Mi nilishawaambia vijana humu...hawataki kuelewa. Mwanamke hatongozwi jamani, mwanamke anavutwa. Ana vutwa na nn ?? (Jibu unalo) Tehe [emoji23][emoji23]
Kuku mtege na punje za mahindi akinasa tu, unamchinja. [emoji23][emoji23]
Ww muache ajishaue....na wewe ringia hela zako cz u can get any woman, any time, anywhere. Gademit !!!
Umegusa pale pale,ndio maana Mheshimiwa Lowassa alisisitiza elimu,elimu,elimu na majitu yamekazania kilimo,kilimo,kilimo,majipu,majipu,majipi haya ndio matokeo yake.HII NI CHATING INBOX
Mkaka: hi!
Mdada: helow!
Mkaka: Mambo!?
Mdada: Poa.
Mkaka: Inakuwaje
Mdada: Fresh tu
Mkaka: Shwari kabisa?
Mdada: Shwari tu..
Mkaka: Mishe zinakwenda poa!
Mdada: Poa tu
Mkaka: Mambo mengine?
Mdada: Poa tu
Mkaka:ehe Nambie sasa...
Mdada: Poaz
Mkaka: hata mi nko poa vp michongo?
Mdada: Poa tu
Mkaka: Pande zipi mrembo....
Mdada: Nipo home
Mkaka: Pande zipi hizo mi nipo Mwanza
Mdada: Dar
Mkaka: kwema pande hizo
Mdada: kwema tu
Mkaka: Maisha yanasemaje?
Mdada: Poa tu
Mkaka: Familia iko poa Mdada: Poa tu
Mkaka: SAMAHANI HIVI UNAISHI NA
WAZAZI AMA UMEOLEWA? Na kama umeolewa je
unaionaje ndoa?
Mdada: kimya..
Baada ya dakika mbili mdada akamblock yule
mkaka......
**Wakati mwingine tunawalaumu bure akina dada
eti wanadharau huko Inbox. Sasa jamani kweli huyu
mtu huyu!! Unamsaidiaje hata kama ni wewe...Yaani
salamu imerudiwa weee mpaka kero halafu
mwishowe anauliza swali la ghafla tu ka mpu.mbavu
vile!!!
Yani mimi mtu akinijibu "p" au "pw" nafuta PMAngalia tofauti ya majibu haya:
Mkaka: Mamboz
Mdada: P
HII NI DALILI MBAYA KWAKO MKAKA
Mkaka: Mamboz
Mdada: Pouwa, mzima wewe?
EHEEE HII NI DALILI SWAFIII KABISAA.
Haijalishi hata kama huko mbeleni utajibiwa no chance, ila hutapanic. Ila hawa wa P hawa, ni kuwaombea njaa tu.
Shunie hujambo?Hivi sijui unakuwaga na darubini