whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Media zinapromote ushoga, we angalia muvi za kutoka marekani nyingi zina maudhui hayoWapi umeona serikali ya Marekani inaeneza ushoga. Yaani Marekani inatoa mashoga New York na kuwaleta mbagala na Gongo la Mboto au inakuwaje??
Unamaanisha Urusi ni pariah / rogue state..?Kama huamini kwamba Kiongozi anatakiwa kuabudiwa, hauwezi kuishadadia Urusi. Kama wewe unaamini kila mtu ana haki ya kuelezea hisia zake bila ya kutishwa na dola, huwezi kuishabikia Urusi.
Kama unataka Kiongozi akiwa madarakani asitumie madaraka hayo kujitajirisha, wewe na Urusi hamfanani. Kama unapenda demokrasia duniani, kaa mbali na Urusi. Kama unachukia viongozi Katili, jitenge na Urusi.
Kama siyo tabia yako kupenda wanasiasa wanaopenda rushwa na wanaozuia kukamatwa, iache Urusi ikae mbali na wewe.
unataka tuishadadie marekani hii iliyovamia Iraq na kuuwa maelfu ya watu,, iliyovamia Libya na kuua maelfu ya watu Afghanistan, Vietnam etc. Punguza mahaba ndugu,,, kila uchao kufungulia nyuzi za kuiponda urusi utadhani unalipwa vile!!!Kama huamini kwamba Kiongozi anatakiwa kuabudiwa, hauwezi kuishadadia Urusi. Kama wewe unaamini kila mtu ana haki ya kuelezea hisia zake bila ya kutishwa na dola, huwezi kuishabikia Urusi.
Kama unataka Kiongozi akiwa madarakani asitumie madaraka hayo kujitajirisha, wewe na Urusi hamfanani. Kama unapenda demokrasia duniani, kaa mbali na Urusi. Kama unachukia viongozi Katili, jitenge na Urusi.
Kama siyo tabia yako kupenda wanasiasa wanapenda rushwa na wanaozuia kukamatwa, iache Urusi ikae mbali na wewe.
Kuna mtu analazimishwa kuangalia hizo muvi?? Na jee hakuna warusi wanaotengeneza muvi kama hizo??Media zinapromote ushoga, we angalia muvi za kutoka marekani nyingi zina maudhui hayo
Yeah!!Unamaanisha Urusi ni pariah / rogue state..?
Wewe ukisia wamarekani wameuawa utafurahi?? Hakuna mtu anayeshabikia nchi kwa kuwa inaua watu. Lakini mfumo wa kuendesha nchi kwa Urusi ni mbovu na wa kikatili sana.unataka tuishadadie marekani hii iliyovamia Iraq na kuuwa maelfu ya watu,, iliyovamia Libya na kuua maelfu ya watu Afghanistan, Vietnam etc. Punguza mahaba ndugu,,, kila uchao kufungulia nyuzi za kuiponda urusi utadhani unalipwa vile!!!
Labda nikukimbushe mwaka 2003 kama ulikuwa hujazaliwa, Marekani iliishutumu Iraq kuwa ina silaha za kikemikali, ikabidi watumwe wachunguzi wa kimataifa kwenda Iraq kukagua, na Iraq haikupinga.Kuna mahali nimeuliza kwamba Sodoma na Gomora ushoga ulienezwa na Marekani?? Hoja hapa ni kwamba ili uikubali urusi ni lazima uwe na chembe chembe za kupenda kukandamiza wengine.
Kwa umri wangu mambo mengine nikumbushe tu wala huna haja ya kutoa mhadhara. Vita ya Iraq haikustahili na kwa kweli wakati mwingine Marekani imekuwa na marais wapenda vita kama BUSH mdogo alivyokuwa. Lakini pia hiyo haihalalishi Urusi kuivamia Ukraine eti kwa kuwa tu Ukraine inataka kuwa mwanachama wa NATO.jitahidi ufuatilie maswala kiundani usipelekwe na mkumbo wa Western media
Usingizini?? Kama una uhalisia useme ili tuone tofauti yake na Propaganda.Kumbe watu wengi Bado wako usingizi wa kifikra namna hii? Sasa naamini propaganda ina nguvu Sana, Sana Sanaa.
Endelea na unachokiamini..Usingizini?? Kama una uhalisia useme ili tuone tofauti yake na Propaganda.
Au unaona wivu nafasi hiyo ufanyiwe ww?!Kuliko kumtetea rais kama huyu wa ukeaine kwenye picha acha tu niendelee kumtetea mrusiView attachment 2574813
Achana na mambo ya maigizo, sasa kapiga kombati ona anavyomtoa kamasi yule tiger wa karatasi.Yani dume zima limevaa kimini alafu leo nilitetee
Kwenye dunia hii ushoga ulianza lini na hizo muvi za Hollywood zilianza lini?Media zinapromote ushoga, we angalia muvi za kutoka marekani nyingi zina maudhui hayo
Huwezi kupinga uvamizi wa US Iraq ila ukaunga mkono uvamizi wa Urusi kwa Ukraine. Matukio yote ni ya uonevu. Hivyo ukimwona mtu aliyebeba kinyongo cha Iraq na huku akifurahia kinachoendelea Ukraine, either ni udini unamsumbua au hana anachosimamia.Labda nikukimbushe mwaka 2003 kama ulikuwa hujazaliwa, Marekani iliishutumu Iraq kuwa ina silaha za kikemikali, ikabidi watumwe wachunguzi wa kimataifa kwenda Iraq kukagua, na Iraq haikupinga.
Wakakagua hawakukuta hizo silaha wala residuals, wakatoa ripoti kuwa hakuna silaha hatarishi,
Marekani bila sababu yoyote akaivamia iraq, wakaua maelfu
Kuna wakari wanajeshi wa marekani waliua watoto kama wanacheza video games,
ICC ikataka kuwashitaki wakaijia juu kuwa wataiwekea vikwazo.
Urusi kaivamia ukraine kwa sababu ilikuwa ina mu host marekani na ni hatari kiusalama kwa urusi, NI KIPI KINA JUSTIFY UUAJI WA MAREKANI? AU KWA SABABU ALIUA WAARABU?
jitahidi ufuatilie maswala kiundani usipelekwe na mkumbo wa Western media