Kama huna fikra za kikandamizaji, hauwezi kuishadadia Urusi

Mimi naangalia sababu, at least iwe ina mashiko, US hakuwa na sababu yoyote ya kuivamia Iraq,

Kama ni swala la vita hata Mungu alimsaidia Yoshua kulisimamisha jua akapigana,
 
Huwa nawashangaa sana watu wanojidai kupigani demokrasia na katiba mpya kwenye nchi hii huku wanamshadadia Putin!
Sijawahi kuelewa wanai reconcile vipi hiyo contradiction.
Nyie mmekuwa brainwashed mnaamini kila anachosema Us
 
Huwa nawashangaa sana watu wanojidai kupigani demokrasia na katiba mpya kwenye nchi hii huku wanamshadadia Putin!
Sijawahi kuelewa wanai reconcile vipi hiyo contradiction.
Kwa hiyo unataka kutujulisha kuwa wanadai katiba mpya wadai na ushoga,,!? Au unamaanisha kitu gani,,?

Lini Putin aliwahi sema tusiwe na Katiba mpya,,!?
Mie naamini katiba bora ni ile inayotambua na kulinda kila chembe ya maslahi ya Watu wa taifa husika,, JAMBO AMBALO NDILO RUSSIA WANAFANYA,,
 
Na hauwezi kuziweka pamoja sababu za uvamizi wa marekan nchini Iraq na ukaxiweka sawa na sababu za Urusi kuivamia Ukraine
 
Kwahiyo na marekani anapaswa kutoshabikiwa kama ambavyo Urusi hapaswi kushabikiwa!
 
Kama Huna akili ya kiukandamizani huwezi kuishadadia MAREKANI na NATO yake.
 

Kuvamia na kuua watu na viumbe wasio na hatia wa Ukreine ndicho kinacho Kusukuma Kumshabikia dicteta puti? Ndivyo!
Nimeamini ashki majunun...
 
Hisia hizi marekani ameua wa ngap yaan yeye anataka aweke silaha karibu na nchi ya urusi watu tatizo mkishapenda kitu hamjudge kwa facts.
Kaua wauwaji bro!
Taja nchi moja ambayo ameua....
 

Hao mabasha zako unaowashadadia unajua walichoifanyia dunia??? au umekurupuka huko kama unakunya kichakani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…