dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Mimi sina vyoteIshakuwa kero sasa, kila siku wanaume tunasimangwa.
Sasa ili kuweka rekodi sawa, hapa ni wale tusiokuwa na gari wala nyumba.
Wadada mtuvumilie jamani, hatuna ila tunakomaa kuzitafuta.
Khaaaa!!
Njoo tutafute tununue pamojaSina hata ndoo ya kufulia..
Akuu me ukishaanza kujisifia sifia kwangu tegemea dharau za hali ya juu na block ikiwa inakufuata....sipendi wanaume wapenda sifa mie
ππππKwamba tuwe wawazi.. Waamue wenyewe sasa sio?
Oouk nimo
Mzee wa kula watoto wazuri wa JF kimyakimya upo?[emoji16][emoji16][emoji16]Nipo kama konokono
Wewe ni mwanaume au mwanamkePesa yako unaishia kuvalia tu? Na kuhonga wadada wa JF [emoji16]
Kuna dadakule kwny grp la whtsap kakusifia kwa kuhonga mkuu eti ww huna mkono wa birika kala sana bata go n return za arusha kwa bombadier
Wewe unanifaa! [emoji8]Gari sina pakulala pako, silipi kodi kwa mtu zaidi ya serikalini kwa ajili ya kiwanja