Kama Huna Gari na Nyumba Jiorodheshe hapa

Kama Huna Gari na Nyumba Jiorodheshe hapa

Ishakuwa kero sasa, kila siku wanaume tunasimangwa.

Sasa ili kuweka rekodi sawa, hapa ni wale tusiokuwa na gari wala nyumba.

Wadada mtuvumilie jamani, hatuna ila tunakomaa kuzitafuta.

Khaaaa!!
Mimi sina vyote
 
Orodha imefikia ngapi hadi asaivi ili nione nawasaidia vipi..
 
Akuu me ukishaanza kujisifia sifia kwangu tegemea dharau za hali ya juu na block ikiwa inakufuata....sipendi wanaume wapenda sifa mie

Ukigundua kwamba anakusifia ujue huyo kafeli. Kwetu sisi wataalamu wa script huwezi gundua kama unatengenezwa.
 
Gari sina nyumba sina sijawahi kujitapa humu. Naishi maisha ninayoyaweza siyaangalii ya mtu na hayaniumizi.
 
Back
Top Bottom