KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

Wewe umeng'ang'ania upewe namba haya namba hiyo umepewa sasa unataka ushirikiano gani tena! Bofya bofya hiyo namba uliyoitaka, huenda itajibu.
 
Ukipewa namba maana yake anakuweka kwenye circle yake kwa ajiri ya matumizi ya baadae atakapokua na shida ya hela, na kadili unavyoonesha shahuku ya kuwa nae ndipo nae atajua akuweke namba ngapi kwenye list yake ya masimp wake. Keep your class mzee baba. Mwanaume hatumi text mara mbili
 
Oya mkuu unanipa nondo
 
Wewe umeng'ang'ania upewe namba haya namba hiyo umepewa sasa unataka ushirikiano gani tena! Bofya bofya hiyo namba uliyoitaka, huenda itajibu.
Si namba zote napata kwa namna hiyo nyingine mtu anatoa kwa kupenda yeye mwenyewe but ghafla haeleweki
 
Dah! disgusting knyama yani kanipa namba tangu september mwaka jana, ushirikiano zero mpaka leo yaani kanichelewesha mpaka nimemgunduwa kwamba anachogo. Yule Demu jau sana
 
Dah!, it' s so distugusting yani kanipa namba tangu september mwaka jana, ushirikiano zero mpaka leo yaani kanichelewesha mpaka nimemgunduwa kwamba anachogo. Yule Demu jau sana
Hahaha kumbe tupo wengi nilihisi ni mimi pekee
 
Walipe Kodi na wao shenziπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…