KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

Wanatoa namba ili miamala ianze kusoma, ukifanya hivyo utashangaa unapewa vyote.
 
Duh sasa miamala inaanza kusoma from no where mkuu lazima atoe ushirikiano hata kidogo
Tatizo hawana uvumilivu, ila kama unamuhitaji sana kwa ajili ya tendo, unagharamika kiasi, baada ya hapo unamuacha aende zake.
 
Ugumu ni kupata namba yake tu, mengine umesharahisishiwa.
Tumia mbinu ya
1. Magazijuto na
2. Four Figure
 
Mkui m nilijua hayo mambo ni kwenye hesabu pekee kumbe hadi huku yapo😂
Kuwapata hawa watu wa kike pia kunahitaji zaidi ya hesabu.
1. Hawezi kujirahisi tu eti kwakuwa kakupa namba.
2. Hata kama kakupa namba, usifikiri kwamba Hana mtu au watu wake.
 
Kuwapata hawa watu wa kike pia kunahitaji zaidi ya hesabu.
1. Hawezi kujirahisi tu eti kwakuwa kakupa namba.
2. Hata kama kakupa namba, usifikiri kwamba Hana mtu au watu wake.
Unachosema ni kweli lakini ilibuwese kuruka viunzi vyote hvyo lazima atoe ushirikiano badala yake ni viceversa
 
Mpaka mwanaume umefika hatua ya kuomba namba jua bado hujafika level zile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…