Kama hutojali, tupe siri yako ya kupata usingizi haraka usaidie wenye tatizo hili

Anayesimulia mvua ujue imemnyeshea, yawezekana kwa wengine ikawa ni mshangao wanaposikia kuna watu hawapati usingizi kirahisi, lakini hili tatizo linawasumbua watu kiukweli. Mtu anaweza kuingia kitandania saa nne usiku ila usingizi ukampata saa sita usiku.

Binafsi njia nayotumiaga ni kusikiliza kinanda laini kwa kutumia ear phones, kile kinanda laini hakika kwangi hakijawai kuniangusha
Mbona wengine kuwahi kulala baada tu ya kuingia kitandani wanaliona kama tatizo? itabidi sasa wataalamu waje na muda unaofaa kulala fofofo baada ya kujilaza kitandani...
 
Jamaa yangu ata stend akiegemea nguzo tu anauchapa wakutosha watu tunatofautiana aisee
 
Sijakuelewa mkuu...
Brain ni kama mwili kwa ujumla kiutendaji. Unahitaji chakula kinachofaa na kinachotosha pamoja na corresponding exercize kwa maana ya kazi ama kusolve problems vilivyo ndipo utaridhika na kurelax baada ya kuchoka. Sasa tatizo linakuja pale mtu anapokuwa kwenye kazi ambayo siyo stahibu (preference) ya ubongo wake -- anakuwa anauburuza literally lakini ubongo haufurahii kazi hiyo. Anafanya tu kwa sababu analazimika na hana jinsi. Baada ya kazi husika ubongo unakuwa unarekodi negative disfunction. Sasa lazima atumie muda wa ziada kusapliment creativity na capacity ya ubongo ambao kimsingi ndio feasible kwa ustawi wake.
 
Mbona wengine kuwahi kulala baada tu ya kuingia kitandani wanaliona kama tatizo? itabidi sasa wataalamu waje na muda unaofaa kulala fofofo baada ya kujilaza kitandani...
Sasa kama hawataki kulala mapema kitandani wanafuata nini kimfano???

Scientifically, sleep 2 hours before midnight; ni bora mara elfu ukalala masaa 4 kuanzia two hours before midnight kuliko 8 or so hours after midnight. Every reputable scientific and psychological journal supports this fact.
 
Dawa yangu pekee ya kukufanya nilale mapema ni nikuvuta mvuke wa petlol (ni ile mafuta ya kufanya pikipiki itembee)
Waeza eka kalibu na pua kama sec. Kazaa hivi naukawa unavuta kwa ndani ule ile kama moshi yake ikiwa ndani ya chupa au kidumu.
Maana mimi pia ni miongoni mwa wanaopitia matatizo ya usingizi.
Kuna wakati mtu unapitia kwenye matatizo nyakati za usiku mpaka unatamani usingizi uje chap ustuke pamekucha lakini wapi,
Kuna siku niliwahi ingia chang'ombe post kimakosa basi nilijikuta naomba dua usinguzi uje chap nilale maana sina shuka hakuna Godoro nimwendo chini mto chupa ya maji safi.
 
Kuna msemo kwamba "Mafundi seremala ndio wanaoongoza kwa kupata usingizi mzuri." Jiulize kwa nini? Usingizi ni sehemu ya burudani kwa mwanadamu. Burudani yoyote ile inahitaji maandalizi ili mwili uifurahie.

1. Hakikisha mwili umelishwa vizuri na kuchoshwa kwa kazi halali ya kipato
2. Hakikisha akili imelishwa chakula chake bora na cha kiafya
3. Hakikisha moyo wako umesafishwa na hauna mzigo wa husda, chuki, wivu, na negatives kama hizo

Hapo dakika 5 tu ushasinzia sana tu, wanaweza kukuhamisha hadi Kongo bila kujua
Sasa hilo suala la 'mafundi seremala' ukilizingatia ndiyo huleta matokeo chanya kwa mambo yote uliyoyaorodhesha katika comment yako?

Tuanzie hapo kwanza!

Maana hata mimi huwa nikimaliza 'kuchonga ferniture', usingizi unaonitokea ni zaidi ya wa mtoto mdogo!

Tena kwa anayeniangalia wakati nikisinzia hunisimulia kwamba huwa ninaanza kwa kutepesha domo na kisha nikikolea sawasawa, huanza kusaga meno kama ninatafuna kitu, hufuatia na kuchuruzikwa udenda na kisha kukoroma kwa kuunguruma kama simba dume!

Sasa hii ni kama kutanzua tatizo kwa kutengeneza tatizo!
 
Je, mtu mzima mwenye siha ya kutosha anatakiwa kulala masaa mangapi kwa siku?
 
Yani umemaliza
 
Sio biblia tu, kusoma chochote kunaleta usingiz haraka Sana.

Back to the topic. Mimi nafanya deep breathing dakika 5 nyingi nishasinzia.
Ingefaa useme kusoma chochote usichokua na interest nacho. Kuna watu tunaweza kutoboa ozone kwa kusoma novel ila nikishika biblia hata kama ni saa saba mchana hazipiti dakika tano nishasinzia.
 
Je, mtu mzima mwenye siha ya kutosha anatakiwa kulala masaa mangapi kwa siku?
Anashauriwa 6-8 QUALITY hours. Remember even 4 QUALITY hours at the FEASIBLE TIME OF THE NIGHT are far better than countless hours of a troubled sleep, and even worse, kwenye saa ama nyakati mbaya.

Imagine sleeping near an electric power plant or karibu na kiwanda au kituo chenye kelele hivyo usidhani unatuliza mwili & ubongo. It is almost as if forgetting to shutdown the release buttom kwenye video recorder. The CNS would be VERY active throughout.
 
Ni kama switch ya usingizi nalala mda wowote ule ninao taka na nina amka mda wowote ule ninao taka ?
 
Anayesimulia mvua ujue imemnyeshea, yawezekana kwa wengine ikawa ni mshangao wanaposikia kuna watu hawapati usingizi kirahisi, lakini hili tatizo linawasumbua watu kiukweli. Mtu anaweza kuingia kitandania saa nne usiku ila usingizi ukampata saa sita usiku.

Binafsi njia nayotumiaga ni kusikiliza kinanda laini kwa kutumia ear phones, kile kinanda laini hakika kwangi hakijawai kuniangusha
Mimi huwa nasinzia kwenye Kochi kabla hata ya kufika kitandani.

Naweza hata kusahau kufunga mlango nikianguka kitandani sa5 mpaka 12.

Ushauri
1.tumia siku yako vizuri kwa
kufanya kazi
2.kuwa na ratiba ya mazoezi japo 30 min kila siku
He
3. Jenga mahusiano mazuri na watu wako wa karibu.

4. Sikiliza mziki
5. Usiwaze Sana matatizo yako, fikiria zaidi mipango yako ya baadae.
6. Muombe mola kabla ya kulala
 
Sasa hilo suala la 'mafundi seremala' ukilizingatia ndiyo huleta matokeo chanya kwa mambo yote uliyoyaorodhesha katika comment yako?

Tuanzie hapo kwanza!

Maana hata mimi huwa nikimaliza 'kuchonga ferniture', usingizi unaonitokea ni zaidi ya wa mtoto mdogo!

Tena kwa anayeniangalia wakati nikisinzia hunisimulia kwamba huwa ninaanza kwa kutepesha domo na kisha nikikolea sawasawa, huanza kusaga meno kama ninatafuna kitu, hufuatia na kuchuruzikwa udenda na kisha kukoroma kwa kuunguruma kama simba dume!

Sasa hii ni kama kutanzua tatizo kwa kutengeneza tatizo!
Wewe usingizi utakuwa umekukolea kisawasawa. Jitahidi tu kujitunza kulalia position nzuri ili kuepuka tatizo la kukoroma.
 
Mimi huwa nasinzia kwenye Kochi kabla hata ya kufika kitandani.

Naweza hata kusahau kufunga mlango nikianguka kitandani sa5 mpaka 12.

Ushauri
1.tumia siku yako vizuri kwa
kufanya kazi
2.kuwa na ratiba ya mazoezi japo 30 min kila siku
He
3. Jenga mahusiano mazuri na watu wako wa karibu.

4. Sikiliza mziki
5. Usiwaze Sana matatizo yako, fikiria zaidi mipango yako ya baadae.
6. Muombe mola kabla ya kulala
Thanks
 
Dawa yangu pekee ya kukufanya nilale mapema ni nikuvuta mvuke wa petlol (ni ile mafuta ya kufanya pikipiki itembee)
Waeza eka kalibu na pua kama sec. Kazaa hivi naukawa unavuta kwa ndani ule ile kama moshi yake ikiwa ndani ya chupa au kidumu.
Maana mimi pia ni miongoni mwa wanaopitia matatizo ya usingizi.
Kuna wakati mtu unapitia kwenye matatizo nyakati za usiku mpaka unatamani usingizi uje chap ustuke pamekucha lakini wapi,
Kuna siku niliwahi ingia chang'ombe post kimakosa basi nilijikuta naomba dua usinguzi uje chap nilale maana sina shuka hakuna Godoro nimwendo chini mto chupa ya maji safi.
Hapa hautatui tatizo; naona unalishona kabisa tena kwa nyuzi mpya.
 
Mimi nina shida nalala btn 7na 8 usdiku naamka alfajiri 10 hadi 11 asubuh siku nikizidiwa sana anatembea glass kadhaa zxa whisky ndio at least nitapata 4hrs.
Nina shida kwa kweli na hayo maana mawili mi kwa hisani na mapenzi makubwa ya safari lager na kisusio wife.nina record binafsi ya 4days without a nap .
Na nina constant migraines
 
why we sleep.jpg

nawashauri msome this book

kina majibu mengi sana kuhusu matatizo mliyotaja

its a reliable expert opinion about so many problems regarding slumber
 
1. Piga nyeto kitandani.
2. Angalia video zinaitwa ASMR (tafuta youtube)ukiwa na earphones.

Usingizi unakuja fasta.
Nilishwa acha na demu gheto afu kaenda kwa mshikaji mwingine nilikundua baada ya kuiacha simu na kusoma sikulala nikajaribu kupiga nyeto pia sikulala
 
Back
Top Bottom