Mbona wengine kuwahi kulala baada tu ya kuingia kitandani wanaliona kama tatizo? itabidi sasa wataalamu waje na muda unaofaa kulala fofofo baada ya kujilaza kitandani...Anayesimulia mvua ujue imemnyeshea, yawezekana kwa wengine ikawa ni mshangao wanaposikia kuna watu hawapati usingizi kirahisi, lakini hili tatizo linawasumbua watu kiukweli. Mtu anaweza kuingia kitandania saa nne usiku ila usingizi ukampata saa sita usiku.
Binafsi njia nayotumiaga ni kusikiliza kinanda laini kwa kutumia ear phones, kile kinanda laini hakika kwangi hakijawai kuniangusha
Siku ukikosa hyo pisi Kali huwa Unalala saa ngap?Nikishapiga goli zangu tatu tu kwa pisi kali..nalala zangu mapemaa
Brain ni kama mwili kwa ujumla kiutendaji. Unahitaji chakula kinachofaa na kinachotosha pamoja na corresponding exercize kwa maana ya kazi ama kusolve problems vilivyo ndipo utaridhika na kurelax baada ya kuchoka. Sasa tatizo linakuja pale mtu anapokuwa kwenye kazi ambayo siyo stahibu (preference) ya ubongo wake -- anakuwa anauburuza literally lakini ubongo haufurahii kazi hiyo. Anafanya tu kwa sababu analazimika na hana jinsi. Baada ya kazi husika ubongo unakuwa unarekodi negative disfunction. Sasa lazima atumie muda wa ziada kusapliment creativity na capacity ya ubongo ambao kimsingi ndio feasible kwa ustawi wake.Sijakuelewa mkuu...
Sasa kama hawataki kulala mapema kitandani wanafuata nini kimfano???Mbona wengine kuwahi kulala baada tu ya kuingia kitandani wanaliona kama tatizo? itabidi sasa wataalamu waje na muda unaofaa kulala fofofo baada ya kujilaza kitandani...
Sasa hilo suala la 'mafundi seremala' ukilizingatia ndiyo huleta matokeo chanya kwa mambo yote uliyoyaorodhesha katika comment yako?Kuna msemo kwamba "Mafundi seremala ndio wanaoongoza kwa kupata usingizi mzuri." Jiulize kwa nini? Usingizi ni sehemu ya burudani kwa mwanadamu. Burudani yoyote ile inahitaji maandalizi ili mwili uifurahie.
1. Hakikisha mwili umelishwa vizuri na kuchoshwa kwa kazi halali ya kipato
2. Hakikisha akili imelishwa chakula chake bora na cha kiafya
3. Hakikisha moyo wako umesafishwa na hauna mzigo wa husda, chuki, wivu, na negatives kama hizo
Hapo dakika 5 tu ushasinzia sana tu, wanaweza kukuhamisha hadi Kongo bila kujua
Yani umemalizaKuna msemo kwamba "Mafundi seremala ndio wanaoongoza kwa kupata usingizi mzuri." Jiulize kwa nini? Usingizi ni sehemu ya burudani kwa mwanadamu. Burudani yoyote ile inahitaji maandalizi ili mwili uifurahie.
1. Hakikisha mwili umelishwa vizuri na kuchoshwa kwa kazi halali ya kipato
2. Hakikisha akili imelishwa chakula chake bora na cha kiafya
3. Hakikisha moyo wako umesafishwa na hauna mzigo wa husda, chuki, wivu, na negatives kama hizo
Hapo dakika 5 tu ushasinzia sana tu, wanaweza kukuhamisha hadi Kongo bila kujua
Ingefaa useme kusoma chochote usichokua na interest nacho. Kuna watu tunaweza kutoboa ozone kwa kusoma novel ila nikishika biblia hata kama ni saa saba mchana hazipiti dakika tano nishasinzia.Sio biblia tu, kusoma chochote kunaleta usingiz haraka Sana.
Back to the topic. Mimi nafanya deep breathing dakika 5 nyingi nishasinzia.
Anashauriwa 6-8 QUALITY hours. Remember even 4 QUALITY hours at the FEASIBLE TIME OF THE NIGHT are far better than countless hours of a troubled sleep, and even worse, kwenye saa ama nyakati mbaya.Je, mtu mzima mwenye siha ya kutosha anatakiwa kulala masaa mangapi kwa siku?
Mimi huwa nasinzia kwenye Kochi kabla hata ya kufika kitandani.Anayesimulia mvua ujue imemnyeshea, yawezekana kwa wengine ikawa ni mshangao wanaposikia kuna watu hawapati usingizi kirahisi, lakini hili tatizo linawasumbua watu kiukweli. Mtu anaweza kuingia kitandania saa nne usiku ila usingizi ukampata saa sita usiku.
Binafsi njia nayotumiaga ni kusikiliza kinanda laini kwa kutumia ear phones, kile kinanda laini hakika kwangi hakijawai kuniangusha
Wewe usingizi utakuwa umekukolea kisawasawa. Jitahidi tu kujitunza kulalia position nzuri ili kuepuka tatizo la kukoroma.Sasa hilo suala la 'mafundi seremala' ukilizingatia ndiyo huleta matokeo chanya kwa mambo yote uliyoyaorodhesha katika comment yako?
Tuanzie hapo kwanza!
Maana hata mimi huwa nikimaliza 'kuchonga ferniture', usingizi unaonitokea ni zaidi ya wa mtoto mdogo!
Tena kwa anayeniangalia wakati nikisinzia hunisimulia kwamba huwa ninaanza kwa kutepesha domo na kisha nikikolea sawasawa, huanza kusaga meno kama ninatafuna kitu, hufuatia na kuchuruzikwa udenda na kisha kukoroma kwa kuunguruma kama simba dume!
Sasa hii ni kama kutanzua tatizo kwa kutengeneza tatizo!
ThanksMimi huwa nasinzia kwenye Kochi kabla hata ya kufika kitandani.
Naweza hata kusahau kufunga mlango nikianguka kitandani sa5 mpaka 12.
Ushauri
1.tumia siku yako vizuri kwa
kufanya kazi
2.kuwa na ratiba ya mazoezi japo 30 min kila siku
He
3. Jenga mahusiano mazuri na watu wako wa karibu.
4. Sikiliza mziki
5. Usiwaze Sana matatizo yako, fikiria zaidi mipango yako ya baadae.
6. Muombe mola kabla ya kulala
Hapa hautatui tatizo; naona unalishona kabisa tena kwa nyuzi mpya.Dawa yangu pekee ya kukufanya nilale mapema ni nikuvuta mvuke wa petlol (ni ile mafuta ya kufanya pikipiki itembee)
Waeza eka kalibu na pua kama sec. Kazaa hivi naukawa unavuta kwa ndani ule ile kama moshi yake ikiwa ndani ya chupa au kidumu.
Maana mimi pia ni miongoni mwa wanaopitia matatizo ya usingizi.
Kuna wakati mtu unapitia kwenye matatizo nyakati za usiku mpaka unatamani usingizi uje chap ustuke pamekucha lakini wapi,
Kuna siku niliwahi ingia chang'ombe post kimakosa basi nilijikuta naomba dua usinguzi uje chap nilale maana sina shuka hakuna Godoro nimwendo chini mto chupa ya maji safi.
Nilishwa acha na demu gheto afu kaenda kwa mshikaji mwingine nilikundua baada ya kuiacha simu na kusoma sikulala nikajaribu kupiga nyeto pia sikulala1. Piga nyeto kitandani.
2. Angalia video zinaitwa ASMR (tafuta youtube)ukiwa na earphones.
Usingizi unakuja fasta.