Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
8 out 10 people who used any amount of alcohol are reportedly deprived of quality sleep.Kunywa bia mbili kila usiku
Kama Hana tako Ni kazi bureUoa, hakikisha kila siku unapiga goli 2 usipata usingizi njoo nikupe milioni 1.
1. Zingatia nyakati regular za kula, kulala, kupumzika, mazoezi na shughuli zingine ili kuboresha ur mental, physical & digestive health.Takribani wiki sasa changamoto hii inanitesa, naingia kitandani saa tatu usiku Mpaka saa Tisa an sehemu nahangaika kutafuta usingizi.....Leo nikaona niende site, tangu asubuhi napiga kazi, metoka huko nimechoka balaa Kama ng'ombe wa plau. Nimeingia ndani saa 2 usiku, Nikajua Leo nalala sana, saa 3 nikaingia zangu kulala, cha kushangaza Mpaka Muda huu naandika hapa hakuna hata dalili ya lepe la usingizi. Hata sijui nifanye nini.
Wakati wa mlo wa usiku unywe na maziwa fresh yaani usingizi wa ghafla utakuja na utalala fofofo usiku mzima.Anayesimulia mvua ujue imemnyeshea, yawezekana kwa wengine ikawa ni mshangao wanaposikia kuna watu hawapati usingizi kirahisi, lakini hili tatizo linawasumbua watu kiukweli. Mtu anaweza kuingia kitandania saa nne usiku ila usingizi ukampata saa sita usiku.
Binafsi njia nayotumiaga ni kusikiliza kinanda laini kwa kutumia ear phones, kile kinanda laini hakika kwangi hakijawai kuniangusha
Nishawahi jaribu hiyo njia ila ikagonga mwamba,shetani sio boya kama tunavyofikiriHahahaaa naamini hili fumbo linahitaji mtu alifumbue, wachache sana watakuwa wamekuelewa.
Akishika tu biblia shetani atampa usingizi haraka sana.
Oanisha hizo dondoo zako tatu na ufundi seremala.Kuna msemo kwamba "Mafundi seremala ndio wanaoongoza kwa kupata usingizi mzuri." Jiulize kwa nini? Usingizi ni sehemu ya burudani kwa mwanadamu. Burudani yoyote ile inahitaji maandalizi ili mwili uifurahie.
1. Hakikisha mwili umelishwa vizuri na kuchoshwa kwa kazi halali ya kipato
2. Hakikisha akili imelishwa chakula chake bora na cha kiafya
3. Hakikisha moyo wako umesafishwa na hauna mzigo wa husda, chuki, wivu, na negatives kama hizo
Hapo dakika 5 tu ushasinzia sana tu, wanaweza kukuhamisha hadi Kongo bila kujua
Nakatakata kachumbari ya vitunguu maji pekee. Natafuna. Nasuuza mdomo. Nakwenda kulala. Nalala Fofofo kabisa.Anayesimulia mvua ujue imemnyeshea, yawezekana kwa wengine ikawa ni mshangao wanaposikia kuna watu hawapati usingizi kirahisi, lakini hili tatizo linawasumbua watu kiukweli. Mtu anaweza kuingia kitandania saa nne usiku ila usingizi ukampata saa sita usiku.
Binafsi njia nayotumiaga ni kusikiliza kinanda laini kwa kutumia ear phones, kile kinanda laini hakika kwangi hakijawai kuniangusha
Pointi ya ufundiseremala ni poetic kwa maana kwamba kazi yoyote halali, ya kipato huleta contentment na enjoyment --- unakuwa na uhakika wa kipato, mwili umefanya mazoezi, akili imeshughulishwa, hakuna muda wa kubumunda umbeya na kulea mafundo & vinyongo kumtima. Pointi ya ufundiseremala vilevile inavuta hisia za Fundiseremala Mnazareti.Oanisha hizo dondoo zako tatu na ufundi seremala.
Akina mm nikilala kuamka aaa nneKipindi nasoma Kunguni Mbu na joto, vilinifanya niende kitandani kwa lengo moja tu, kusinzia.
Naenda nikiwa nimechoka, Nikifika tuu Nazima.
Tofauti na hilo Mimi ni mmoja wapo wa wanaoutafuta usingizi kwa tochi,
Nina jamaa yangu ni kiboko,
Yaani akiona tu kitanda anaanza kukoroma.