BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu fanya kuzoom hao dagaa uone wanavyokuangalia...🤣Hizo dagaa umechemsha?
Kama ndiyo,bas I prefer ugali pekeyake
😂😂 Huo mchemsho wa maji na chumvi..Hizo dagaa umechemsha?
Kama ndiyo,bas I prefer ugali pekeyake
🤣Hapana aisee😂😂 Huo mchemsho wa maji na chumvi..
🤣Naweza waonea huruma niwarudishe kwenye maji hivyohivyomkuu fanya kuzoom hao dagaa uone wanavyokuangalia...🤣
Mboga ndio imekufanya uone ugali mkubwa ingekuwa nyama choma ugali ni mdogo.mkuu ugali mkubwa sana huo kana kwamba unaenda kuua vibakteria huko tumboni...🤣
yote kwa yote pilipili ndo kiungo hapo bila pilipili hauishi huo!
ACHA zarau kijana 😡Hicho chakula ukimpa mbwa hatokula I'm sure.
Kwa hiyo unatakusemaHicho chakula ukimpa mbwa hatokula I'm sure.
Acha dharau wewe. Aliekupa wewe. Ndio kamnyima yeyeHicho chakula ukimpa mbwa hatokula I'm sure.
Njaa ni kitu kibaya sanapole na hongera.
amesema wapi kanyiwa chakula?Acha dharau wewe. Aliekupa wewe. Ndio kamnyima yeye
Nazijua dagaa zikichemshwaHizo dagaa umechemsha?
Kama ndiyo,bas I prefer ugali pekeyake