Kama hutotumia akili wiki hii itakuwa ndefu sana

Kama hutotumia akili wiki hii itakuwa ndefu sana

Hii thread comments nyingi ni za watoto wakishua , wengi wanashangaa hiyo menu wakati mimi niliyekulia uswazi huo ni msosi wa maana na wala hakuna stress, stress itakuja tu pale utakapoamka asubuhi na huna uhakika wa kupata hata hicho kinachoitwa na watoto wa kishua hapa kuwa chakula cha mbwa.
 
nilifikiri jamaa kapika msosi wa mbwa kumbe wakwake.
dagaa ni lishe nzuri sana. msiojua ndio mnazidharau. nenda gugo: health benefits of sardines/ingredients

The protein and heart-healthy fats in sardines can help you build muscle and strength. Sardines have many nutrients that can help with mild inflammation or oxidative stress in heart disease or other conditions. These include calcium, potassium, magnesium, zinc, iron, taurine, arginine, and more.
 
We jamaa ni Freemason unakula dagaa wengi hivyo mara moja? Hela unatoa wapi? Hiyo dagaa ni mboga ya siku 3
Na mshahara haujatoka aisee ninewaza wale marehemu wa kariakoo kuka msiba uko kwenye ghorofa sijui walikopeshwa na manispaa ama ndie opportunity
 
Tatizo la Tanzania ni maarifa. Ugali huu huu ukipikwa na mtaalamu wa mapishi lazima mate yakutoke. Huko kwenye migahawa ya walami watakuandikia kwenye menu kuwa ni "SARDINES WITH STIFF PORRIDGE" ili kukukata wenge.
Mama Samia acha hizo,hivi Ni stiff porridge with sardines au sardines with stiff porridge?
Ila dagaa wakipikwa vizuri Ni watamu balaaa
 
Back
Top Bottom