MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kama ni fukara ni stiff poridge with sardines. Ila kwa sisi wenye kipato cha zaidi ya $10000 kwa mwaka ni Sardines with stiff Porridge. Umeshaacha tabia ya kumwona kila anayekula nyama choma bila ugali kuwa anakula mboga?Mama Samia acha hizo,hivi Ni stiff porridge with sardines au sardines with stiff porridge?
Ila dagaa wakipikwa vizuri Ni watamu balaaa