MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Tatizo la Tanzania ni maarifa. Ugali huu huu ukipikwa na mtaalamu wa mapishi lazima mate yakutoke. Huko kwenye migahawa ya walami watakuandikia kwenye menu kuwa ni "SARDINES WITH STIFF PORRIDGE" ili kukukata wenge.Mchana umepita tayari mjini mipango.
ndugu, usiseme hivyo. tema mate chini.Hicho chakula ukimpa mbwa hatokula I'm sure.
Unakula ugali na mafish🤣mengi mengi hongera bana tajiri huku kwetu Mexico ugali ni chakula cha farasi na hizo dagaa ni kwa ajili ya kukuMchana umepita tayari mjini mipango.
nilifikiri jamaa kapika msosi wa mbwa kumbe wakwake.ndugu, usiseme hivyo. tema mate chini.
😅😅😅 Mola akusamehenilifikiri jamaa kapika msosi wa mbwa kumbe wakwake.
🤣🤣🤣 AiseeNazijua dagaa zikichemshwa
Hapo ameziua tu
Kuna wakati mkuu,acha tunilifikiri jamaa kapika msosi wa mbwa kumbe wakwake.
We ni mwamba, ndio ule dagaa wa kuchemsha kweli😁?View attachment 3161317
Na food ikaisha..
Hungry fire..We ni mwamba, ndio ule dagaa wa kuchemsha kweli😁?
Mi nimekula wakavu wale wa mwanza. Na NgunaHungry fire..
dagaa ni lishe nzuri sana. msiojua ndio mnazidharau. nenda gugo: health benefits of sardines/ingredientsnilifikiri jamaa kapika msosi wa mbwa kumbe wakwake.
Na mshahara haujatoka aisee ninewaza wale marehemu wa kariakoo kuka msiba uko kwenye ghorofa sijui walikopeshwa na manispaa ama ndie opportunityWe jamaa ni Freemason unakula dagaa wengi hivyo mara moja? Hela unatoa wapi? Hiyo dagaa ni mboga ya siku 3
Umeniangusha, sasa iyo supu unamwachia nani tena.!?View attachment 3161317
Na food ikaisha..
Baba Morgan, hongera,Hadi nimecheka.View attachment 3161317
Na food ikaisha..
Mama Samia acha hizo,hivi Ni stiff porridge with sardines au sardines with stiff porridge?Tatizo la Tanzania ni maarifa. Ugali huu huu ukipikwa na mtaalamu wa mapishi lazima mate yakutoke. Huko kwenye migahawa ya walami watakuandikia kwenye menu kuwa ni "SARDINES WITH STIFF PORRIDGE" ili kukukata wenge.