Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

Mzee mm usajili ukianza nistue nipo namba mbili baada yako.

Ukweli utabaki kuwa wazi hakuna kiongozi wa kumlinganisha na JPM,na hili viongozi wengi serikalini wanalijua ndo mana wanatafuta namna ya kumchafua ila wanashindwa na wataendelea kushindwa mpaka ccm chama kipasuke tu.
 
Si mliambiwa mnaompenda mkazikwe naye, au ww umeamua kutoka kaburini? CCM wanajua Magufuli hakushinda kwa haki, wao kukaa kimya ni ili CCM iendelee kukaa madarakani, lakini hakuna wa kumtetea maana alichokifanya kila mtu alikiona.
 
Siku ya tarehe 17/03/2023 itakuwa mahususi kwa Rais Samia kujielekezea katika uzinduzi wa tume ya kumshauri katika masuala ya kilimo, Ikulu jijini DSM. Sana sana kabla ya kuanza kwa hafla hii kubwa, wageni wote waalikwa watasimama kwa muda wa dk. 1 kwa ajili ya kumkumbuka kisha mambo mengine yataendelea.

Suala la kumbukumbu ya maisha yake, ni suala binafsi la kifamilia, na hilo linawahusu ndugu, jamaa na marafiki wa karibu. Kama taifa tutakuja kumkumbuka sikukuu ya mashujaa pamoja na wakina Kinjeketile, Mtemi Milambo, Mtemi Mkwawa na wengine wote waliolipigania taifa letu kwa nyakati tofauti.
 
Hao viongozi waliokaa kimya,wao ndio wametoa hayo maelekezo ya kutukanwa kwa jpm,hayo matusi yanabaraka zao,lkn ukweli nikuwa,wanatwanga maji kwenye kinu,magufuli ndio kipenz cha watanzani,hata hayo yanayoitwa maridhiano,ni kichaka cha kuukimbia ukweli na kutafuta kuungwa mkono ktk kazi ya kumtukana jpm,
Sijaona tusi hata moja kwa jpm ispokuwa naona watu wakieleza jinsi hali halisi ilivyokuwa awamu ya tano!, wakulima wa korosho, na wamiliki wa beriur DE change wa mengi ya kueleza.
 
Si mliambiwa mnaompenda mkazikwe naye, au ww umeamua kutoka kaburini? CCM wanajua Magufuli hakushinda kwa haki, wao kukaa kimya ni ili CCM iendelee kukaa madarakani, lakini hakuna wa kumtetea maana alichokifanya kila mtu alikiona.
Jielekeze kwenye mada na sio kejeli
 
Hivi umeshawahi kujiuliza hivi ni kwa nini madongo yapigwe kuelekea kwa JPM tu, na wala isiwe kwa Mzee Mkapa au Baba wa Taifa!?

Ndiyo! Wote ni hayati, ambao wamewahi kulitumikia taifa letu katika nafasi ya Rais wa JMT, lakini ni kwa nini kumbukumbu mbaya iwe juu yake tu! Hilo ni funzo kubwa sana kwa viongozi waliopo madarakani.
Alikuwa ni zaidi ya shetani
 
Umekuja na marking scheme hapa? Usilazimishe kila mtu amuone kuwa alikuwa wa maana hivyo.
Nilivyoandika kuwahusu malinoni ya wafuasi wa JPM wewe haumo kwenye hao, hicho kiherere cha nini kwa yasiyokuhusu?
 
Back
Top Bottom