Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Sijaona tusi hata moja kwa jpm ispokuwa naona watu wakieleza jinsi hali halisi ilivyokuwa awamu ya tano!, wakulima wa korosho, na wamiliki wa beriur DE change wa mengi ya kueleza.Hao viongozi waliokaa kimya,wao ndio wametoa hayo maelekezo ya kutukanwa kwa jpm,hayo matusi yanabaraka zao,lkn ukweli nikuwa,wanatwanga maji kwenye kinu,magufuli ndio kipenz cha watanzani,hata hayo yanayoitwa maridhiano,ni kichaka cha kuukimbia ukweli na kutafuta kuungwa mkono ktk kazi ya kumtukana jpm,
Naona upinde wa mvua unakusumbua kijana ulitaka mwenyewe tulikushauli hukutaka....sasa umeanza kuwa na sonona.Jamhuri ya JPM iko kule shimoni Chato, mtu kama wewe huombi uraia, unapewa tu, na unasubiriwa.
Jielekeze kwenye mada na sio kejeliSi mliambiwa mnaompenda mkazikwe naye, au ww umeamua kutoka kaburini? CCM wanajua Magufuli hakushinda kwa haki, wao kukaa kimya ni ili CCM iendelee kukaa madarakani, lakini hakuna wa kumtetea maana alichokifanya kila mtu alikiona.
Ulikuwa utawala wa kishetani kabisaSijaona tusi hata moja kwa jpm ispokuwa naona watu wakieleza jinsi hali halisi ilivyokuwa awamu ya tano!, wakulima wa korosho, na wamiliki wa beriur DE change wa mengi ya kueleza.
Alikuwa ni zaidi ya shetaniHivi umeshawahi kujiuliza hivi ni kwa nini madongo yapigwe kuelekea kwa JPM tu, na wala isiwe kwa Mzee Mkapa au Baba wa Taifa!?
Ndiyo! Wote ni hayati, ambao wamewahi kulitumikia taifa letu katika nafasi ya Rais wa JMT, lakini ni kwa nini kumbukumbu mbaya iwe juu yake tu! Hilo ni funzo kubwa sana kwa viongozi waliopo madarakani.
Huo huo wa kishetani ulisaidia sana kupunguza wajinga na wakwapuaji wa kodi pamoja na wajuaji ambao hata shule hawakupita, na sasa wanatukana tu hapaUlikuwa utawala wa kishetani kabisa
Ushauri wako peleka kwa mashoga wenzakMfuate huko aliko mkaanzishe Bara lenu kabisa
Umekuja na marking scheme hapa? Usilazimishe kila mtu amuone kuwa alikuwa wa maana hivyo.Jielekeze kwenye mada na sio kejeli
Heshimu wengine uheshimiwe! Usiwe sababu ya watu kukutukana mkuuMfuate huko aliko mkaanzishe Bara lenu kabisa
Majangili akina Mnyeti, Makonda, Sabaya, Mrisho Gambo, Ally Hapy ndiyo viongozi? shame on youHuo huo wa kishetani ulisaidia sana kupunguza wajinga na wakwapuaji wa kodi pamoja na wajuaji ambao hata shule hawakupita, na sasa wanatukana tu hapa
Nilivyoandika kuwahusu malinoni ya wafuasi wa JPM wewe haumo kwenye hao, hicho kiherere cha nini kwa yasiyokuhusu?Umekuja na marking scheme hapa? Usilazimishe kila mtu amuone kuwa alikuwa wa maana hivyo.
Anaitwa KisamvuSimamq kwenye hoja achana na hizi mbambamba