Kumbe unawafahamu? Hata hivyo, miongoni mwa mamilioni ya watanzania na wafuasi wa JPM wewe haumo kwenye hao, kiherere chako kumhusu cha nini?Majangili akina Mnyeti, Makonda, Sabaya, Mrisho Gambo, Ally Hapy ndiyo viongozi? shame on you
Heshomu wengine uheshimiwe! Unataka matusi?Anaitwa Kisamvu
Hiihaikukulenga wewe kwa sababu miongoni mwa wanaomkubali mwamba, wewe haumo mkuu! Shida yako nini tena WALOLA VUNZYAMuosha huoshwa.Pole sana Chato empire.
Haya bwana.Hiihaikukulenga wewe kwa sababu miongoni mwa wanaomkubali mwamba, wewe haumo mkuu! Shida yako nini tena WALOLA VUNZYA
Pamoja mkuu!Haya bwana.
Hayo ni mawazo yako nayaheshimu, ingawa haujataka kuelewa nilichoandika kwa maksudu tu!Eiither unaumwa attention disorder au upo kwenye last stage ya grief ya kumpoteza shujaa wako.Unaposema kuhama mbona option zipo nyingi unaeza ukaenda Malawi unaeza Kwenda Kenya au nilazima Tanzania ijitenge😁
Hahaha! Yaani unatamani watu wote wawe na mtazamo wako pekee?Jinga mtambuka
Hahaha! Yaani unatamani watu wote wawe na mtazamo wako pekee?
Umepotoka mno
Hili ni kutoka moyoni kabisa!
Na kama iko namna bora na ambapo viongozi wetu wanapaswa kutumia hekima ili kuondoa mpasuko unaoendelea mitandaoni na ambapo viongozi wetu huwenda wanaona ni kawaida, basi wanapaswa kuliangalia hili na kuwa nalo makini sana, kwani linazidi kuipasua nchi na kuleta tofauti mkubwa kwa wananchi na mpaka kwa viongozi wenyewe!
Kuilinda Amani kwa majeshi na vitisho, ni njia nzuri ila sio namna bora yenye kuleta utengamano kwa jamii iyoumizwa; watanyanaza kwa midomo yao lakini mioyo yao ingali inawaka moto!
Tukubali ama tusikubali, nyuma ya hayati JPM kuna mamilioni ya watanzania ambao mpaka sasa wamekuwa wafuasi wa mlengo wake na wameendelea kuumizwa na matusi na kejeli nyingi kumhusu JPM, Ikumbukwe, JPM alikuwa Raisi wa nchi hii, hivyo, ameacha watu wengi nyuma waliathiriwa na namna ya uongozi wake na wakampenda kama kiongozi wa aina yake kwenye mioyo yao
Si kwenye majeshi yetu, si kwa viongozi wa ndani na nje ya nchi tu, bali hata viongozi wengi waliko ndani ya ccm na ndani ya vyama vingi vya upinzani
Kuendelea kuacha jina lake kutukanwa kama mdori! Hii sio heshima wala mila zetu watanzania
Ifike pahala, jambo hili likomeshwe ili kuwaleta watanzania kwa pamoja na umoja wao!
Kama kuna mtu anajidanganya kusema eti hao sukuma gang, kwanza ni wachache na itafika mahali watasahau, huku ni kujidanganya na kuendelea kuchochea ghadhabu ndani ya mioyo ya wengi! Mtu aliyewatoa tongotongo watanzania na kuona kwamba kumbe hata Tanzania na watanzania kuinuka kiuchumi inaezeakana, iwe rahisi tu kusahaulika?
Hii ni nchi yetu sote, tumekuwa na utaratibu usiopendelea mtu wala dini na ama kabila ili kumfanya
Mtu awe kiongozi wetu!
JPM alishinda kwa haki na nyinyi ccm ndio mliotuletea, na ushindi wake mliusimamia nyinyi wenyewe, kwa nini hata chama chake kimeacha kumtunzia heshima yake kama mtu aliyeitumikia hii nchi tena kwa mafanikio makubwa?
Mnamaanisha kwamba nyinyi ccm ndio mnaoratibu haya unayoendelea kumhusu JPM?
Nahitimisha kusema, ccm majijengea uhasama na wananchi nyinyi kwa nyinyi!
Binadamu na mashetwani ni vitu viwili tofauti kabisaJFs moderators futeni huu upuizi kwa heshima ya jukwaa.
Hiyo inakuhusuNi Tanzania pekee ambapo ujinga unatetewa na kundi kubwa la watu
Wasalaam wana JF Katika kipindi cha miaka sita iliyopita nchi yetu ilishuhudia utawala usiofuata sheria na kutojali haki na heshima za binadamu. Watanzania wengi walikua wamekatwa mikia na kugugumia. Haki za kisiasa na kiraia ziliporwa na watu waliumizwa kimwili na kiuchumi na wengine kupoteza...www.jamiiforums.com
Kosa ni kukuita kwa jina lako? au sijaelewa? si unaitwa Kisamv ? matusi yanatoka wapi? Mbona vijana wa CCM mnapenda matusi? Haya tukana basi roho yako ifurahiHeshomu wengine uheshimiwe! Unataka matusi?
Unaheshima zako hapa! Ukiona mada haiendani na ulivyo wewe, kaa kwa kutulia na siyo ujisababishie kushushiwa heshima yako mkuu!Kosa ni kukuita kwa jina lako? au sijaelewa? si unaitwa Kisamv ? matusi yanatoka wapi? Mbona vijana wa CCM mnapenda matusi? Haya tukana basi roho yako ifurahi