Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa ivo walikuwa wanaishi wapi zama hizo za Quran na Biblia. Au walikuwa wanakuja na kuondoka?Mayahudi hayana kwao
Ikithibitika pasipo shaka nako moto utawaka hapatakalika abadaniBinafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani?
Quran na Biblia zina hadithi kuhusu wayahudi. Hao wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia, zama hizo walikuwa wanaishi kwenye nchi gani ambayo kwa sasa haipo?
Duh! Kweli akili ni nywele. Si aheri ungekaa kimya?Mayahudi hayana kwao
Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina.
Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani?
Quran na Biblia zina hadithi kuhusu wayahudi. Hao wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia, zama hizo walikuwa wanaishi kwenye nchi gani ambayo kwa sasa haipo?
Sasa hao wayahudi walienda wapi kama hawa sio wao?Wayahudi ni kabila miongoni mwa watu waliokuwa wanaishi palestina ila siyo hawa wazungu wazungu waliotoka ulaya kisa wanajua kuongea kiebrania.
Wayahudi ni kabila miongoni mwa watu waliokuwa wanaishi palestina ila siyo hawa wazungu wazungu waliotoka ulaya kisa wanajua kuongea kiebrania.
Kuna waislam, wasomi wa dini ya Kiislam ambao wanasema wazi kuwa Quran imetamka wazi kuwa Israel ni ardhi ya Wayahudi, na kama wao waislam watataka kuichukua ardhi hiyo, wataanguka na kushindwa.
Quran Inasema Israel ni Ardhi ya Wayahudi
1 of 16Next Last
- Thread starterBams
- Start dateDec 17, 2023
- TagsNone
Unsubscribe
•••
[IMG alt="Bams"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/28/28702.jpg?1421497843[/IMG]
Bams
JF-Expert Member
Kuna waislam, wasomi wa dini ya Kiislam ambao wanasema wazi kuwa Quran imetamka wazi kuwa Israel ni ardhi ya Wayahudi, na kama wao waislam watataka kuichukua ardhi hiyo, wataanguka na kushindwa.
Moja ya maandiko wanayorejea kwenye Quaran, ni Sura 5 verse 21 kwenye kuran, ambayo inasema kuwa, "Israel ni ya Wayahudi".
Andiko zima, rejea hapa chini:
Khaleel Mohammed, Islamic Law scholar of the San Diego State University, noted that Sura 5 verse 21 of the Qur'an, and the medieval exegetes of the Qur'an, say that Israel belongs to the Jews. He translates it thus:
[Moses said]: O my people! Enter the Holy Land which God has written for you, and do not turn tail, otherwise you will be losers." Mohammed here understands "written" to mean this is the final word from God on the subject. In reaction, he was inundated with hate mail.[4]
And We said to the Children of Israel after Pharaoh, “Reside in the land, but when the promise of the Hereafter comes to pass, We will bring you all together.”
— Surah Al-Isra 17:104
Kwa ivo kwa maelezo yako ni kwamba kosa la Wayahudi ni kutaka kurudi kwao? Kwa ivo pale ni kwao ila waliondoka na sasa wamerudi?Tukisema kila jamii itake kudai na kurudi makwao hapa duniani hapatakalika.
You mind crippled, argue not with sound mind people.Hizo nywele weye unazo?
Au unadhani hayo mav%%i nayo ni nywele?
Endelea kuyafuga utakuja poteza kibamia chako humo
Swali unalojiuliza linahusu moja ya masuala yenye historia ndefu na yanayozungumziwa sana katika dini, historia, na siasa. Linagusa juu ya hadithi za kihistoria, kidini, na madai ya kisiasa kuhusu ardhi ya Israeli ya kisasa na uhalali wa Waisrael kuishi huko.Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina.
Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani?
Quran na Biblia zina hadithi kuhusu wayahudi. Hao wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia, zama hizo walikuwa wanaishi kwenye nchi gani ambayo kwa sasa haipo?
Hii ndio tofauti kubwa pekee ni sawa leo watokee wa Catholic waseme kwao ni Vatican sababu ndio nyumbani kwa wa Rome lakini sababu Vatican hapatoshi tuchukue Rome pia. Wayahahudi ni dini na wanaweza kuwepo popote kuna waarabu wengi tu na ni mayahudi hakuna shida. Hawa wazungu waliotoka sijui Poland na nchi za ulaya mashariki ndio shida kubwa. Netanyau halikuwa jina lake alitoka Poland baada ya wao kuhamia Israel na jina akabadilisha Nentanyau.Wayahudi ni kabila miongoni mwa watu waliokuwa wanaishi palestina ila siyo hawa wazungu wazungu waliotoka ulaya kisa wanajua kuongea kiebrania.
Kwa ivo kwa maelezo yako ni kwamba kosa la Wayahudi ni kutaka kurudi kwao? Kwa ivo pale ni kwao ila waliondoka na sasa wamerudi?
You mind crippled, argue not with sound mind people.
Bad lucky are the parents who begotten such a retarded girl who is rich in nothing than her idiocy.
Wayahudi wanateseka na kutengwa sababu ya ubinafsi wao.
Tukumbuke wale ni watu kama watu wengine ila wamejipa uspesho ambao ndio utakaowatesa na kuwafanya kuchukiwa na mataifa.
Tukisema kila jamii itake kudai na kurudi makwao hapa duniani hapatakalika.