Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?

Sasa kama wanajua kuongea kiebrania huoni kama huo ni uthibitisho kuwa ndio wayahudi halisi.Je kuna mpalestina yeyote anaweza kuongea kiingereza cha kuzaliwa,si mpaka akae darasani ajifunze.Ila kama wanaweza kuongea kiebrania kwa kuzaliwa hao ni wayahudi hata kama sio .Allah sio mjinga amuumbe mzungu halafu ampe Lugha ya kiebrania.
Wayahudi ni kabila miongoni mwa watu waliokuwa wanaishi palestina ila siyo hawa wazungu wazungu waliotoka ulaya kisa wanajua kuongea kiebrania.

Wapo wapalestina wanaoongea kiebrania kuzidi hao wazungu hapo Israel
Nimeuliza kuna mpalestina anayeongea kiingereza?
 
Wapo wengi sanaa
 
Wayahudi ni kabila miongoni mwa watu waliokuwa wanaishi palestina ila siyo hawa wazungu wazungu waliotoka ulaya kisa wanajua kuongea kiebrania.
Wewe uporoto ipo siku utakwenda kuzimu kwa yule mungu wenu atalufanya kuwa miongoni mwa bikra 72 yule mingu wenu aliyecopy kurani kutoka kwa wayahudi kea sasa naye wanamfokomea makalio kea magita ya pdidy kule kuzimu
 
Kabla ya kuwa Tanganyika ilikuwa ni Zanzibar. Mkutano wa Betrlin ndiyo ukaikatakata Afrika kama keki, wakagawana wazungu.

Ilikuwa mpaka Somalia na chini huko mpaka Maputo (Sofala).
Ilikuwa nchi au ilikuwa koloni la muarabu
 
Kama wewe ni Mkristo rudi kasome Bible upya.

Vitu kama Torati ilikuwa lwa ajili yao tu sio wote. Sadaka za dhambi, hekalu n.k vilikuwa kwa ajili yao tu wengine Hatukuhesabiwa ndio maana kulikuwa na "Taifa la Mungu" na "Watu wa Mataifa"
Hakuna taifa la Mungu na lisilo la Mungu,kama si taifa la Mungu linakua la shetani?
 
Tunazungumzia ahadi ya nchi ya ahadi iliyoambatana na masharti,na ulinukuu aya ya Quran
 
Nimekutolea mfano kuwa waliambiwa ukifanya hiki utaadhibiwa usipofanya unabarikiwa. Ni kama vile vitabu vitakatifu vinasema ukitenda dhambi utaangamia ukiishi maisha ya utii kwa Mungu utabarikiwa. Mbona Rahisi kueleweka mzee
Hizo ni amri na hukumu tofauina ahadi ya nchi ya ahadi,elewa
 
Hawa jamaa heri waendelee kujua waliishi hapo hapo Israel ikiwemo na Gaza plus West Bank, yaani wasijue pengine zaidi. Wakijua watalianzisha jipya
Wakati wanatafutiwa eneo la kuishi miaka ya 1900 Uingereza alipendekeza hapo Uganda wawape ndiyo liwe eneo lao ila walikataa, sasa jaribu kuwaza ingekuwaje?
 
Hapo Palestine walipokuwa awali wanaishi kwa sasa panaitwaje ? Najiuliza pia, kama Waisraeli hawapo,, kiebrania kimetunzwaje hadi leo kama lugha yao. Hata kama walienda ulaya Marekani nk kama wakimbizi, hiyo inaondoa uwepo wao na asili yao ?
Umenifanya nikumbuke Mfecane War jinsi wazulu walivyoingia vitani na jamii yake kuanza kusambaa mpaka kufika kusini mwa Tanzania na kwasasa tunawajua kama Wangoni! Nami najiuliza hapa hivi anaeongea Kizuru hawezi kuelewana na anaengea kingoni? Je! Leo hii wangoni wanaweza kurudi South Africa kudai ardhi waliyoishi babu zao?
 
Hivi leo utampima Mpalestina kwa ukatili gani alioufanya?
 
haikuwepo nchi inayoitwa "israel" Suleiman na Daud walitokea Misri, kasome vizuri historia yako.

Nukuu maandiko yako kama u mkweli.
Hao Suleiman na Daudi ni uzao wa Yakobo,unataka kusema Yakobo naye alitokea Misri?
 
100% true. Wengi humu wanaandika vitu visivyo na logic. Hawajui kuwa hata huo Umoja wa mataifa, zamani haukuwepo.
 
Mshangazi usiye na adabu weye, na huko msikitin huwa unaenda kufundishwa matusi na ujinga?
Huyu bibi anayejiita Mshangazi, lazima ni mwendawazimu wa kiwango fulani. Hakuna mtu mwenye akili timamu, tena mama anayeweza kuandika ushetani na matusi ya namna hiyo. Humu JF tunayo mashetani pia. Fikiria kama hilo shetani Mshangazi ukutane nalo mtaani, sijui litakuwa ni jitu la namna gani!!
 
Aione FaizaFoxy .Kitabu cha Samweli kimeandikwa miaka mingi kabla hata ya Quran kuandikwa ambacho kinatambua taifa la Israeli
 
Fuatilia vizuri kwenye taarifa rasmi.

PLO chini ya Yasar Arafat, na Israel chini ya Yizack Rabin, wote waliridhia kuanzishwa kwa Taifa la Israel kwa kwenda hatua kwa hatua, kwa kuzingatia mipaka ya kabla ya mwaka 1967 kama Azimio la Umoja wa Mataifa no. 2424 lilivyotamka baada ya vita vya mwaka 1967, ambapo Israel ingekuwa na 20% na Israel ingekuwa na 80%. Azimio hilo lilifuta ile mipaka ya mwaka 1948 kabla ya vita, ambapo kufuatana na Azimio la UN 181, Israel ingepata 56% na Palestine ingepata 44%.

Hamas hawataki Taifa la Palestina lenye mipaka ya kabla ya 1967, wanataka mipaka ya kabla ya vita vya 1948.

Kwa sasa, Israel haitaki kutekeleza azimio no. 242 la UN, Hamas nao hawataki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…